





Picha zingine nenda kwa Jide
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamaa kabeba pochi hapo.lol
ReplyDeletekwani akibeba pochi tatizo liko wapi? ulitamani uibebe wewe?
ReplyDeletejamani mimi mbona bado sielewi.
ReplyDeletehii kokuteli pati ni ya kuhusu nini hasa.
And who is Mo Ibrahim?
Nitashukuru sana kama kuna mtu ataweza kutuelezea.
mdau
Nje ya nchi
anon hapo juu umenchekesha! ,lol na bado!
ReplyDeleteHuh nakuaminia dadaa Jide...!!!
ReplyDeleteMungu alikunyima mengi lakini sauti, vipaji,ability to stay well focused unatisha. Keep it up wangu, hata mie music yako huwa inanikuna saana tu.
cha ajabu ni nini? beba la wako nawe hujakatazwa lol.
ReplyDeletendiyo kabeba pochi si ya mkewe kama wewe hujui ustaarabu utajiju ulitaka akapafomu na pochi?? acha hizo ushamba mwingine bwana hongera jide utafika mbali zaidi ya hapo jitaidi tu kuwa mbunifu
ReplyDeleteGadna anashow some Love kwa kubeba pochi ya Wife safi sana
ReplyDeleteHongera sana jide, wewe ni kichwa hakika tunajivunia wewe. nakuomnea ufike mbali na mungu akulinde.
ReplyDeleteumependeza sana halikadhalika mr.
Jamani kubeba pochi ni kawaida sana na ni mapenzi tu wala sio kama ulivyowaza wewe hapo juu.
mungu mbariki jide, mungu ibariki tanzania.
maida
Mhh ndugu Maida kwa kweli Jay Dee hajapendeza, tena mimi naona kama anachekesha, huyu dada anaimba vizuri sanaaa ana sauti na anajituma kiasi. Kuvaa ni ZERO inabidi apate mtu wa kumsaidia kuvaa hajui anatakiwa kuvaa nini huwa anachekesha sana anavyovaa, shape na sura yake haviendani na nguo zake, hajui kuvaa na wala hapo juu hajapendeza hata kidogo anachekesha, hiyo function na jinsi alivyovyaa mhhh hakuna kitu hovyo kabisa. Ila kazi yake ni nzuri
ReplyDeleteheee jamani mbona wengine mwamshambulia annon #1???amesema tu ivo wengine mwaaza lecturez puuh?safi sana Gadner
ReplyDeleteila JK poa sana ila uyo askari wake ndo nn kuvaa migwanda?kaambiwa apo sooo official or what?kwanza ilikua all black suit event
ok Nd'our cjawai msikia afu hii cjui kutoa zawadi kwa mapresidaa afrika SIJAIELEWA KABISA nielimishwe wadau
wee Mdau Unaeuliza who is Mo just google ya self an u ll c who hes
ReplyDeletemmmmmmmmmmmh, wewe uliyenibu nakushukuru, ila naweza kusema kuwa "KIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI, AU UKIPENDA CHONGO UTAITA BORITI"
ReplyDeleteBasi mimi namuona jide yuko ok hata kimavazi, kwa ujumla ana muonekano mzuri sasa kama wengine hawavutii basi samahani.
me nasema JIDE UKO JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU, KAZA BUTI DADA,
maida
mmm kweli wabongo mna mambo kwani gadna kubeba pochi ya jdee imekuwa kosa?
ReplyDeleteWatasema sana ,lakini mie namkubali Lady Jay dee- ni mwanamuziki maridadi sana katika fani,kuimba lugha 7 tofauti sio mchezo kati karne hii.
ReplyDeleteNae asiye mjua Mo Ibrahim-yuko sayari gani jamani?
mdau wa Lisungo Ipinda Kyela.