JK akiagana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Bwana Alberic Kacou muda mfupi baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar leo.
Balozi wa Algeria nchini Tanzania anayemaliza muda wake Abdelmoun 'aam Ahriz akimwonesha JK majarida mbalimbali wakati balozi huyo alipokwenda ikulu kumuaga JK leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona JK mvi zimeanza kuchanganyia!!!

    ReplyDelete
  2. Huyu Jamaa ana undugu na Albaradei wa IAEA nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...