JK akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mh. Ban Ki-Moon jijini Rome leo wanakohudhuria mkutano wa wakuu wa nchi kwa usalama wa chakula
JK akiongea na Waziri wa Kilimo na Chakula Mh. Stephen Wasira na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mazingira na Ushirika wa Zanzaibar Mh. Burhani Saadat Haji wakati wa mkutano huo
JK akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa FAO Mh. Jacques Diouf na baadaye kufanya maongezi ofisini kwake jijini Rome, Italy, asubuhi ya leo


JK akisalimiana na rais wa Burundi Mh. Pierre Nkurunzinza ambaye naye anahudhuria mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu usalama wa chakula duniani jijini Rome, Italy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. we 'mwandishi maalum', nani kasema tafsiri ya food security ni usalama wa chakula? napendekeza neno 'upatikanaji' wa chakula. maskini pesa za walipa kodi.

    ReplyDelete
  2. PRESIDAR KWA PAMBA DUU!

    ReplyDelete
  3. I have liked the body language. Hiyo picha inaonyesha nijinsi gani watanzania tuna heshimika na kuogopeka katika nchi jirani zinazo tuzunguka.

    Muangalie Nkurunzinza alivyo kua mpole kwa JK,anaonyesha kabisa anamuheshimu.

    Inabidi spirit hii iendelee, hawa jamaa wakikosea tu zidi kuwa saidia, namna hii tunajijengea heshima na confidence.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...