Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akihudhuria kikao cha kamati ya maandalizi ya kongamano la Maspika kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na umoja wa Mabunge Duniani IPU katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York
Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na balozi wa Uingerza UN Mhe. Philip Parham (katikati) katika hafla iliyoa nae kwa baadhi ya mabalozi mara baada ya kuhuduria kikao cha kwanza cha cha kamati ya maandalizi ya kongamano la Maspika kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na umoja wa Mabunge Duniani IPU mkutano unaofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani. Kushoto ni balozi wa wa kudumu katika umoja wa mataifa toka Tanzania Dr. Augustine P. Mahiga. Mhe. Philip Parham kabla ya kuamisjhiwa New York alikuwa balozi wa Uingereza nchini Tanzania. Picha ya chini Mh. Sitta akiteta jambo na Bi. Ashura Duala (kulia) katika hafla iliyoa andaliwa na balozi wa Uingereza UN mjini New york mara baada ya kuhuduria kikao cha kwanza cha cha kamati ya maandalizi ya kongamano la Maspika kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na umoja wa Mabunge Duniani IPU mkutano unaofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani. Katikati ni balozi wa kudumu katika umoja wa mataifa toka Somalia ambaye pia ni mume wa Bi Ashura Mhe. Elmi Duala.
Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akijadili jambo na na balozi wa wa kudumu wa umoja wa mataifa toka Tanzania Dr. Augustine P. Mahiga alipomtembelea ofisini kwake leo. Mh. Spika yupo Marekani kuhuduria kikao cha kamati ya maandalizi ya kongamano la Maspika kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na umoja wa Mabunge Duniani IPU mkutano unaofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sisi weusi sijui kwa nini hatupendi kujichanganya, sasa wanakaaje wote watatu sehemu moja kwenye mchanganyiko kama huo?

    ReplyDelete
  2. Wewe anony hujui usemalo, Picha ya kwanza kama ni kukaa pamoja sitting arrangement inazingatia alphabetical order ya majina ya nchi kuanzia SouthAfrica, Switzerland (labda mzungu alienda chooni), United Republic of TZ na Mexico (labda ni Mwenyekiti). Picha ya pili kuna Mzungu katikati.Picha ya tatu ni cocktail party hawakai unazunguka na kuzungumza na watu sasa ulitaka uwekewe picha zote Spika Sitta alizokuwa anazungumza na wazungu au Wamarekani.

    ReplyDelete
  3. Mzee Six hakikisha unaondoka na John. Ni ushauri tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...