Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Misupu, unatania au "chicken party"? Hii kali hongera baba!

    ReplyDelete
  2. Michuzi Hupenda Utani tu Hahhaahahha Ila wengi Midomo yetu huteleza pale meno inapochukuwa nafasi ya Ufizi. Pazi. Michuzi au ndio Kipigo tulichopigwa jana Liverpool?. Mie jana nimeambulia Simba tu kushinda Pazi.

    ReplyDelete
  3. Asalaam Aleikum braza michuzi. jamani naomba ambaye anajua hii keki imetengenezwa wapi (hasa akina dada)anambie. ninashughuli ya kitchen party ya mwanangu. Tafadhali naomba sana ndugu zangu

    ReplyDelete
  4. ACHA USHAMBA WEWE MICHUZI, MBONA KILA MARA UNAKOSEA KUANDIKA MANENO YA KIZUNGU, AIDHA KWA HERUFI AU NENO KAMILI.
    Haya hapa ni wazi hii ni KITCHEN PARTY. hebu ona ulivyoandika. Kai???? kulikoni? au unafanya makusudi? haipendezi bwana, watu kibao wanaisifia hii blog yako ni ya kimataifa, usituangushe bwana, au mwajiri mtu, awe anakufanyia editting kabla huja-post.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...