Home
Unlabelled
kikwete meets mubarak in cairo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK ni mtu flani wa fashion, but mie kwa uelewa wangu mdogo kuhusu mavazi, suruali ya kuvalia suti huwa haina turnup chini...Prezoo anahitaji washauri wa wardrobe na kama anafanya mwenyewe basi kachemsha vibaya mno..niwie radhi kwa kukukosoa Mr Prezoo
ReplyDeleteWadau!
ReplyDeleteKwa nini Rais wetu akihudhuria mazungumzo ya ana kwa ana na viongozi wengine wakuu wa nchi anakuwa anabeba "vi-phantoom" a.k.a "nyenzo", "desa" au "Kinyamkera"
MImi nafikiri anapaswa kuwa na hali ya kujiamini na ku-flow, hii kitu haileti picha nzuri.
Nyerere hakuwa na kamtindo haka, na hata Ben, sina hakika mzee Ruksa.
Mzee Mvurunza
Makumira- Arusha
Ebana Rais Mubarak amekaa madarakani tangu nikiwa darasa la kwanza mpaka leo.sijawahi kusikia Marekani wakimpiga vita rais wa Mi-siri kuwa ni dikteta.Anyway,subirini Rais Mubarak akisema ovyo vs Marekani.Watamsingizia na kumtuhumu uovu wote uliopo na usiopo duniani.
ReplyDeleteKuna kamkoba (keusi) ka nyenzo hapo chini,
ReplyDeleterais na 'desa'! hii kali. sidhani kama anatumia sana. lakini ni vema kuwa na takwimu sasa hamadi kibindoni.
ReplyDeleteWe Mavurunza unaonekana hujui usemacho. rais anaweza kuwa na Desa endapo anahitaji kutoa msisitizo wa kile anachosema, kwa mfano misri imeendelea kuliko sisi na anaomba msaada fulani kwa Hosni mubarak sasa kufafanua mahitaji yake anaweza kutoa kabrasha au picha ya eneo au kitu husika ili kumshawishi asaidie. hata hivyo kama anazungumza mambo ya kawaida basi huwa hatumuono na hilo desa. Aidha anapotaka kuEXTEND INVITATION basi unaweza kuwa na barua rasmi au ujumbe au pia Mubarak inawezekana alitaka apatiwe taarifa fulani na prezoo akaenda nazo. sasa sijui unaelewa au una tatizo la kuelewa hadi hapo.
ReplyDeleteJK is looking good there! Na huyu anony anayedai eti Ben na Nyere walikuwa wanapendeza kimavazi, sijui anamaanisha nini kwa kweli. Halafu let me be blunt. While I fully respect all our presidents present and past, JK is irrefutably the most well dressed (and probably the most good l0oking) president Tanzania has ever had since independence. Mention one who could beat him on that count!
ReplyDeletewe anony wa mwanzo,hiyo siyo turnup, kakunja ni ndefu, ama raisi aruhusiwi kukunja suruali?????
ReplyDeleteMzee Mvurunza napenda kukujibu.
ReplyDeleteRais kubeba au kutokubeba nyenzo sio tatizo.
Kumbuka kwanza watu wako tofauti na kila mtu ana style yake ya kufanya kazi ambayo anaona inampa tija zaidi ili mradi tu avunji sheria au taratibu nyingine zilizowekwa.
Hata darasani, of course at college or university level, kuna wanafunzi wanachukua notice darasani wakati mwalimu anafundisha na ambao hawachukuwi lakini mwisho wa siku wote wanafanya mtihani na kufaulu kwa viwango vyao.
In short what is important is not the means but the end results.
Mlo mmoja, sio kweli uyasemayo!
ReplyDeleteIla kasoro ya hizo surali zote mbili ni ufupi wa "inner seams "zake.
Suruali sio tu ikutoshe kiunoni. Inaweza ikafiti kiuno. Urefu wake ukaonyesha "miguu ya njiwa", kama ukikaa.
Urefu wa suruali ni sawa na urefu wa mikono ya koti. Ukiinua mikono, mikono yako inaonyesha mithili ya miguu ya njiwa, pia.
Ndio maana kuna surari saizi, kwa mfano 36 x 32, 36 x 30, na kadhalika (kwa saizi za hapa Amerika).
32 na 30 ni urefu wa "inner seams."
Wote Marais hao wanahitaji "inner seams" ndefu kidogo ya hizo suruali walizovaa!
FASHIONISTA MWENYEWE!
Body Language hapo angalia. JK anaonekana kama anasikia baridi wakati Mubrak kama anampiga shule. Watu wa diplomasia na body language vipi hapo hebu tupeni maoni yenu
ReplyDeleteMtoto wa Mashaka aliponda ushirikiano wa biadhara kati ya Africa na China.
ReplyDeleteSasa hao wakubwa mbona wanaelekea kuboresha huo ushirikiano?
Mashaka jibu swali.
US Blogger
JK bwana hahahahahaaa jaman mbavu zangu,,,eti fashonista duh
ReplyDeleteila JK vipi iyo suruali jamen ebu chekini apo chini yani mikunjo iyo
body language ya JK ndo ikogi ivoivo hawezi badilika,yan siku zote anaonekana km sijui ubaridi unampiga,i dont know!!
icho kibegi si kingewekwa juu mezani au mtumishi wake angekishikilia??khaaa
cheki izo dhahabu apo lazima tutaiga tu soon
Kikwete anamsoma tu hapo Mubarak, msisahau Kikwete amesoma 'The Prince' zaidi ya mara 3 gamba hadi gamba. Wamisri mpaka leo hawajakubali kubadilisha mkataba wa ziwa viktoria, mkataba wa toka enzi za mkoloni, halafu nyie mnadhani wakenya tu ndio wakuwa waangalifu nao. Anyway, kuhusu makabrasha anayobebaga Kikwete nadhani raisi wetu ni hands-on, tofauti na labda Mwinyi. Mkapa alikuwa kichwa kwa hiyo nadhani alikuwa anaweza kuweka data kichwani kwa muda mrefu. Vilevile hii ni photo-op tu, wakiwa kwenye roundtable discussion wote wanahitaji desa, hata Obama.
ReplyDelete