MKAAZI wa mjini Sumbawanga , mkoani Rukwa akiwaonyesha watoto wake kwa mshangao mkubwa , shimo kubwa kando ya barabara ya Kiwelu ni mojawapo ya barabara zilizofanyiwa ukarabati mkubwa na kuwekewa lami hivi karibuni , pamoja na kwamba shimo hilo ni uharibifu ulosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbali mbali mkoani hapa , lakini bado wakaazi wengi wa mjini i hapa wanadai barabara hizo zote zenye zaidi ya urefu wa kilomita zimejengwa chini sana ya kiwango. Picha na mdau Peti Siyame.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. ili nikuba;i kuishi na kufanya kazi sumbawanga hapo, inabidi niwe nalipwa mshahara wa Tshs 15,000,000/= tax free per month. anything less than that a BIG NO!!! hapo hata totoz sidhani kama zinafaham utaratibu!!!

    ReplyDelete
  2. Nadhani huyu mzee na watoto wake sio wazawa wa sumbawanga, ni wageni. Kwa sie tunaotokea huko hatuwezi kushangaa vitu vidogo kama hivyo!

    Kinachotokea hapo ni implication ya zile hefufi tano za mwisho katika jina la huko mahali (yaani ni wanga)

    ReplyDelete
  3. sumbawanga juu!!Kantalamba oyee!!

    Eeh bwana sie tumekulia hapo hayo ni mambo ya kawaida kabisa hapo S/wanga,na wafipa wala hawalalamiki wala nini na ukikuta na wenyewe kutoka kule milanzi wana chapa mguu mpaka daraja la chanji halafu wakifika hapo wana tua mizigo yao kuosha miguu kutoa vumbi halafu wana vaa viatu sasa maana wanaingia Mjini na ndiyo lami ilikuwa ikianzia hapo enzi zile(mwanzoni mwa magereza) sijui kwa sasa

    Wee ann wa Nov 30 04:47 acha hayo kuna watoto safi tena down to earth hata kuna 5 star hotels sijui kwa nini una kandia S/wanga yetu

    NAWAKILISHA TU

    ReplyDelete
  4. Hapo bwana,unaweza ukawa unaingiza timu,halafu baadaye unakuta ndizi yako imepotea...nilitokea kumpenda msichana mmoja wa huko,nilikuwa katika nia ya kumwambia...ila washkaji wakawa wanachonga sana...na huyo msichana kuna baadhi ya vtu nilikuwa simwelewi...hata mi naogopa sana,kama inahusu mambo ya totoz.

    Mdau Ujerumani

    ReplyDelete
  5. Kwa uzoefu wangu totoz ambazo ziko reserve maeneo kama hayo ya Sumbawanga huwa ziko reasonable sana ukilinganisha na hawa wa mjini na mara nyingi ni mafundi asilia. Huwa wanakuwa na misimamo yao fulani vile lakini poa.

    Kuhusu ndizi kupotea..... i am not sure.

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa 4:47Pm acha Ushamba. Sumbawanga poa sana. Hali ya hewa safi, chakula na "chimpumu" (ulanzi)sawa na bure. Halafu tunaweza kukutayarishia nyama choma safii ya samaki nchanga!

    ReplyDelete
  7. napafahamu vizuri sana hapo nimekaa miaka kumi swanga 1998-2008 kabla ya kuhamia dar kisha nikapanda pipa la klm air bus na kutua dulles airport washington dc

    ReplyDelete
  8. Wanaoukandia mkoa huo waangalie mbali... Huo ni moja ya mikoa inayo supply chakula nchini kwa kiwango kikubwa sana. Sio tu kuangalia negatives. Wengine mikoa fulani hapa tulipo ni jua kali kupita kiasi kila kukicha hakuna cha kufanikiwa ktk kilimo wala nini! Mungu anamakusudi na kila eneo na bila sehemu nyingine kuwepo hali haitakuwa kama ilivyo sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...