tzNIC Manager, Eng. Abibu Ntahigiye akiongea na waandishi wa habari
Mwenyekiti wa Board ya tzNIC (PAC), Prof Beda akiteta jambo na Director General wa TCRA, Prof. John Nkoma mara baada ya mkutano

Picha ya pamoja baada ya mkutano.
.tznic itakuwezesha ku-manage .tz hapa nchini, kwa kutumia dot tz domain names na kwa kuunganisha jitihada zilizofikiwa za kuwa na Root server hapa nchini na Internet exchange points tutasaidia kupunguza gharama za internet connectivity, ku-localize traffic na pia kupata mawasiliano ya haraka zaidi.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante kwa taarifa. Tutaendelea kujifunza zaidi faida za kuwa na website ya .tz kuliko ya .com. Naamini, hasa kwa kuanzia, .tz itakuwa gharama zaidi kuinunua, lakini kama nilivyosema, nitaendela kujifunza zaidi faida zake, ukiacha hiyo ya identity ambayo wameisisitiza.

    ReplyDelete
  2. Mbali na utambulisho, matumizi ya .tz yanachangia jitihada zinazoendelea za kupunguza gharama za mawasiliano kwa njia ya Internet. Kama ilivyoelelezwa kwa kuwa na .tz domain, kuwa na website iliyo hapa hapa nchini na kwa kuwa K-root server ipo hapa nchini mawasiliano yote yanaishia humuhumu nchini (hakuna traffic itakayo toka nje). Hivyo kwa kupunguza traffic iendayo nje gharama za Internet zaweza kupungua.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Abibu..naoma umechana sana!!
    Mdau P wa UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...