.tznic itakuwezesha ku-manage .tz hapa nchini, kwa kutumia dot tz domain names na kwa kuunganisha jitihada zilizofikiwa za kuwa na Root server hapa nchini na Internet exchange points tutasaidia kupunguza gharama za internet connectivity, ku-localize traffic na pia kupata mawasiliano ya haraka zaidi.
Home
Unlabelled
libeneke la dot TZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante kwa taarifa. Tutaendelea kujifunza zaidi faida za kuwa na website ya .tz kuliko ya .com. Naamini, hasa kwa kuanzia, .tz itakuwa gharama zaidi kuinunua, lakini kama nilivyosema, nitaendela kujifunza zaidi faida zake, ukiacha hiyo ya identity ambayo wameisisitiza.
ReplyDeleteMbali na utambulisho, matumizi ya .tz yanachangia jitihada zinazoendelea za kupunguza gharama za mawasiliano kwa njia ya Internet. Kama ilivyoelelezwa kwa kuwa na .tz domain, kuwa na website iliyo hapa hapa nchini na kwa kuwa K-root server ipo hapa nchini mawasiliano yote yanaishia humuhumu nchini (hakuna traffic itakayo toka nje). Hivyo kwa kupunguza traffic iendayo nje gharama za Internet zaweza kupungua.
ReplyDeleteHongera sana Abibu..naoma umechana sana!!
ReplyDeleteMdau P wa UK