MUONEKANO MPYA WA
VarsityCollegetz.ning.com

Mtandao wako wa VarsityCollegetz unapenda kuwashukuru wadau wote kwa kujiunga na kushiriki kikamilifu katika kuuendeleza mtandao wetu wa wasomi Tanzania.

Tunapenda kuwafahamisha wadau kuwa VarsityCollegetz sasa ina muonekano mpya ili kukurahisishia wewe mdau na wengine wote kupata information kwa urahisi zaidi. Mtandao wako wa VarsityCollegetz unakuwezesha yafuatayo kwa urahisi zaidi:

- Kuungana na wasomi wenzako na kupata nafasi ya kuzungumzia mambo mbalimbali
- Kupata habari juu ya scholarships
- Kupata habari muhimu kabisa juu ya kusoma abroad
- Kupata habari juu ya kazi
- Kushare research papers zako ulizoandika (kama case study ni Tanzania)
- Kuaccess papers zilizoletwa na wadau wengine
- Kuaccess links za vyuo vikuu na colleges zote Tanzania
- Kuaccess links za idara, miradi, na maswala yote ya elimu Tanzania

Karibu sana
www.varsitycollegetz.ning.com

Kitogo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...