
Picha na mdau wa Ramadhani Othman Ikulu Zenji
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona WAARABU?
ReplyDeletemh...
Maalim seif anadili gani tena au anakwenda kuchukuwa chake kabisa
ReplyDeleteMwanzo mzuri.Lincohn mwanademokrasia wa kimarekani alisema nanukuu: " A house divided against itself cannot stand". Elewaneni kwa ajili ya Zanzibar na Tanzania.
ReplyDeleteMdau
Nani mwarabu hapo!!!! XCZCHWIIII!!!!!!!, pusi we>
ReplyDeleteHawa wakiwa waarabu, je waliozaliwa na kukulia kwenye vivuli vya mitende watakua nani???
ReplyDeleteMwarabu atakula ugali na vibua?? Jamani acheni ubaguzi namkumbuka sana Nyerere.
ndioo waarabu sio machogoo
ReplyDeletehii mijitu mingine bwana haijui tupo 2009 sasa wao bado wana mambo ya kusema mwarabu sijui nani mbona hayo mambo ya kiukabila yamesahauliwa duniani
ReplyDeletewewe ANONY wa kwanza unafaa kurudishwa kwenye miaka ya 47 bado una ukabila kwani kuwa kiongozi kwenye nchi yako kunaangalia rangi au kabila???????
ikiwa ni watanzania sasa tatizo lipo wapi????????
mtu kama wewe ukisimama kwenye vijana wa sasa uanze kuongea mambo ya ukabila vijana wanaweza kukuzalisha hata kama wewe ni mwanaume.
mijitu mingine bwanaa..eti mwarabu...mwarabu kakusea nini....ni mambo ya mlo mzuri ndugu yangu...sijui huyo miongoni mwa mafisadi...ndio walewale wasipenda maendeleo ya tz...elewa wewe "mazengo" kutulia kwa znz ndio mafanikio kwa nchi nzima....
ReplyDeleteSO WHAT?
ReplyDeleteOF COURSE WANA DAMU ZA KIARABU
ReplyDeleteNDIO NI WAARABU SO WHAT??????
ReplyDeleteKAJINYONGE SASA KAMA UNAWEZA NDIO MAANA SHIDA HAZIKUISHI NJAA TUPU IMEKUNZUNGUKA ETI OOH MWARABU KWANI OBAMA MZUNGU?????????
HII MIJITU YA KALE KUMBE BADO IPO KAJIBANIKE KAMA KUKU SASA WENZIO WAPO IKULU WANAKULA KUKU KWA UJANJA WAO
NAWEWE KATAFUTE UGALI WAKO KWA UJANJA WAKO ANGALIA NJAA YAKO USIANGALIE MAKABILA YA WATU NGEDERE WE.
rais amani mjanja kweli anamkaribisha maalim seif atlast
ReplyDeleteama kweli viongozi africa noma,
ReplyDeletemuda wote seif alishindwa nini kumtambua rais amani?
na rais amani nae aliogopa nini kumwita maalim ikulu?
au kwa sababu sasa ivi jahazi limeshagonga mwamwmba?
haya! natuone. nini kitafuata!
lakini ninawaomba ndugu zangu wa unguja napemba waachane na siasa zisizo na mbele wala nyuma,ni ULAGHAI TU, ndugu zangu wazanzibari, tuendeshe maisha yetu, seifu na amani hawatusaidii lolote,ispokua ni juhudi zetu wenywe ndio tutafika.
.I LOVE ZANZIBAR.