Home
Unlabelled
mapacha wanne kuzindua albamu mwisho wa mwezi huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi! ndugu zetu msiwe na wasiwasi
ReplyDeletewanamziki wenzenu wa ndani na nje ya tupo pamoja nanyi,tena tunawatakia mafanikio mema katika uzinduzi wa Kitu chenu kipya,daima mbele kwa mbele.
wenu
The Ngoma Africa Band aka FFU!
Big up Michuzi kubandika hizi habari. Huu ndio muziki wetu wa asili na sio flava (play back), kati ya hawa jamaa wanne, hakuna hata mmoja wao aliye feki ila kidogo bwana mdogo Joseph Michael (Mara) naikubali sauti yake. Huyu jamaa ndiye mbongo pekee F.M. Academia lakini anamzima kila mtu sauti pale....Jose na wenzako kazeni buti, nyinyi ndio zawadi yetu.
ReplyDeleteKweli Michuzi Jose yuko juu sana huyu yanki, jamaa anajuwa kuichezea sauti yake. Alinua na mapande yake katika ile album ya "Dunia Kigeugeu." Jose, Big up!
ReplyDeletetaifa hili la kesho kweli ni hatari, hapa Ali Choki na kina Muumin wasipoangalia watasambaratika hivi hivi. Banza anarudi punde tu toka hivi sasa, msikilizieni mapande yake...kazeni buti vijana muue flava muziki usio na akili na vipaji.
ReplyDeleteMmmmmh! Hayo majina.
ReplyDeletemapacha wanne au mapacha wawili ?!
ReplyDeleteNatamani ningeipata hiyo album, nina imani itatisha mbaya! maana hao vijana ni tishio!nawapa BIG UP
ReplyDeletesafi sana brothers.
ReplyDeletemi nawaaminia sana nyie maana nyote ni moto wa kuotea mbali, mnatisha yaani kwakweli itakuwa bonge la colabo,
big up sana Mwenyezi atawajaalia kwa kile mlichopanga.
unamanisha ao ni mapacha kwa kuzaliwa?
ReplyDeleteMimi ni fun wa Jose Mara yaani nampenda sana huyu kaka kwanza mstaarabu anaheshima na ndoa yake yaani hongera sana mke wa Jose Mara kwa kuwa na mume unaempa tafu kiasi hicho..
ReplyDeleteAaah, vijana nawakubali sana, sana! yaani nikifikiria balaa mlilofanya katike ile truck 'kuachwa', hapana vijana mnatisha.
ReplyDeleteKaka Chaz baba, kama kuna shabiki wako namba moja, basi ni mimi. Kwa jinsi ulivyochana ktk ile truck sumu ya mapenzi na msinijadili, aah we ni noma kaka
Kalala jr, vp kaka mbona cijacikia truck uliyotunga hapo Twanga?? ila mi nakukubali unavyocheza na verse unazoimba.
kwa kifupi hii albam ya hawa jamaa, naisubiria kwa hamu sana coz nimeshaanza kuhisi utamu wake.
Kinyero
wadau, hivi kinyero maana yake nini? au mi naelewa tofauti?
ReplyDeleteJose Mara yuko juu kaza buti tu.
ReplyDeleteWengine punguzeni ubishoo.
Rafikiye Abuu wa Namanga.
mi nampa BIG UP Jose, upo juu kaka kama gari la HAMMER ila wengine punguzeni kukuadia hao mapredeshee wa mjini wanawake unatubore tu
ReplyDeletewe anony wa hapo juu, kinyero maana yake ni kitako, teh teh, teh!
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona vijana mmeamua kupiga kazi.Cha msingi ni kuwa serious na sio kubweta,kazeni buti mtafika mbali..acheni ubishoo usiokuwa na maana.
ReplyDeleteChoki na Muumini kaeni macho maana sasa hivi tutawasahau,kazi kutuchanganya akili,leo hapa kesho kule na kujiona bila nyinyi hakuna mziki!
Big up Mapacha kama mnavyojiita!
i believe hawa wakaka watatoa kitu cha nguvu. haya tunasubiri kazi yenu. jamani mie namzimikia sana Jose mara, nipatieni namba yake nimtafute hahahah
ReplyDeleteJose Mara kwa sauti hakuna cha ali choki sijui muumin wala nini, huyu jamaa yuko fiti kichizi. Anawaziba sauti wale wazaire wa F.M. Academia kinoma, Jose angekuwa demu ningekula naye sahani moja tu, sauti yake inachengua sana.
ReplyDeleteMichuzi hapa umefanya jambo la maana kupost hii ishu. Hawa mapacha ndio watakaobeba bendera ya muziki wetu si watu wa flava. Kina Kalala Jnr leteni vitu jamani wadau wa nje/majuu tunawasubiri kwa hamu saana
ReplyDeleteVijana leteni ngoma za ki ukweli, hatutaki ujinga wa flava muziki usio na kichwa wala miguu
ReplyDeleteNani kasema flava ni muziki jamani? Ule ni ujinga tu, na ndio maana unaona wasanii wake hawadumu kwani hawana vipaji. Kitu kimepikwa na kompyuta kisha mtu anatia tu sauti halafu anajiita mwanamuziki ni kweli jamani? To death with flava, hiyo waachieni hao wajinga wa kimarekani!
ReplyDeleteJamani flava si muziki yaishe hapa. Kina Jose tuleteeni vidonge hata kwa dolla 30 nitanunua hiyo cd yenu ila nawaomba tu, msilete tungo za kijinga kama za flava! Tunataka tungo zilizoenda shule.
ReplyDelete