Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Veretine Mokiwa ( wapili kutoka kushoto) akiendesha misa ya mazishi ya marehemu Askofu Mstaafu Gresford Chitemo (82), mazishi yalifanyika jana nje ya Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu Morogoro

Baadhi ya akina mama ambao ni waumini madhehebu ya Kikrito wakipita mbele ya jeneza lilolowekwa mwili wa Marehemu Askofu wa kwanza wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Morogoro, Gresford Chitemo (82) kabla ya mazishi yake.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poleni sana; Mama, Chite, Diyu, Wema na Amani. Requiescat in pace (RIP), baba askofu wetu mpendwa.
    TM

    ReplyDelete
  2. What moves through us is a silence, a quiet sadness, a longing for one more day, one more word, one more touch, we may not understand why you left this earth, or why you left before we were ready to say good-bye, but little by little, we begin to remember not just that you died, but that you lived. And that your life gave us memories too beautiful to forget. RIP Bishop Gresford Chitemo - Ndaga Benjamin

    ReplyDelete
  3. poleni sana wafiwa, nilikuwa sijaipata hii. nilimhusudu saana Askofu Chitemo japo mimi si Anglikan ila alikuja mara kadhaa kuendesha ibada CCT-SUA. pole sana Ken and others. MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
    Willy Mmari

    ReplyDelete
  4. Poleni sana wafiwa, mimi ninamkumbuka sana Askofu Chitemo wakati akija kuendesha ibada za ubatizo na kipaimara pale SUA enzi hizo tukitumia lecture theatre one kama nyumba ya Ibada, Mungu ailaze roho ya Marehemu Chitemo mahali pema peponi na awapatie faraja wafiwa wote. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...