Mdau Mayasa Hamad akipozi na waalimu wake baada ya kula nondozzz ya Masters of Arts in Diplomacy, Law and Global change katika Chuo kikuu cha Coventry University, UK leo.
>
Mdau James Sabuni wa Cornerstone Institute, Cape Town, Sauzi (kulia, akiwa na mdau wa huko) baada ya kula Nondoozzz ya Community Development leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera bwana James Sabuni,
    Mgalatia/Kwayamasta hapa nakutakia kila lakheri!!!

    ReplyDelete
  2. KUMBE MGALATIA WA NGUVU.

    ReplyDelete
  3. hongera sana dada Mayasa,tunahitaji wasomi kama nyinyi huku

    ReplyDelete
  4. ebwana umependeza kweli dada yangu ndani ya joho hilo

    ReplyDelete
  5. hongereni sana jamani elimu haina mwisho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...