Tujumuike na familia ya Elias Stafford Mshana(Massawe) katika ibada jumapili november 22 saa nane mchana(2:00pm) ya kumuombea mama yao mpendwa Bertha Stafford Mshana aliyefariki nov 12/2009 katika hospitali ya KCMC,Moshi Kilimanjaro na kuzikwa november 16/2009,Moshi,Kilimanjaro

Ibada itafanyika
Good Samaritan Lutheran Church,
10110 Greenbelt Road,
Lanham,Md,20706.
Sisi tulikupenda lakini mwenyezi Mungu amekupenda zaidi,ukae katika amani mpaka hapo mwenyezi Mungu atakapo tukutanisha tena,yeye alitoa na yeye ametwaa,jina lake lihimidiwe.

Kwa maelekezo zaidi,wasiliana:
Marco Mbullu 571 426 7124,
Elvis Saria 301 213 0657,
Elias Stafford 301 646 5683
Ray Abraham 301 793 4467

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Roho ya mama Bretha ipumzike kwa amani, milele na milele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...