Tarehe 19/11/09 mpendwa wetu Toby Jibaba anatimiza miaka mitatu kaburini na kutakuwa na misa katika kanisa la St. Joseph saa saba mchana na baadae kwenda makaburini.
Siku ya jumapili tarehe 22/11/09 kutakuwa na misa ya shukrani nyumbani kwao Ocean Road jijini Dar kuanzia saa tano asubuhi na baadae chakula cha mchana kwa pamoja. Ndugu, jamaa,majirani na marafiki wote wanakaribishwa siku hiyo.
Kwa niaba ya familia,
Kwa niaba ya familia,
mimi ni dada wa Jibaba
Catherine Magambo
0783932393
0754814115(Mama Magambo)
0783932393
0754814115(Mama Magambo)
asante sana dada catherine,sisi marafiki wa marehemu tunawatakia kila la heri ktk misa hiyo,tunasikitika tupo mbali ki mwili lakini kiroho tupo wote hapo DAR,sisi ni rafiki wake tobi kutoka mji wa miltonkeynes ambapo marehemu alikuwa akiishi pamoja na sisi wakati wa uhai wake,asante sana mdau ughaibuni
ReplyDeleteAsante sana kaka Michuzi kwa kututolea taarifa hii, mungu akubariki!
ReplyDeleteKaribu jumapili tujumuike sote.
Dada wa Jibaba