The National Costume competition of Miss Earth 2009 was held on November 4, 2009 at the Cultural Center of the Philippines Grand Theater in Pasay City.All of 87 candidates participated in the competition, with Miss Tanzania winning the coveted Best in National Costume award.
Minor/sponsor awards were also given at that night which includes the Placenta Award which is given to Miss Puerto Rico and Pasigandahan Award (the award name is a combination of the main river that passes through Manila and the Filipino word for beauty) which went to Miss Guam.
"best in National Costume"? What national costume? What on earth did she wear, I wonder?
ReplyDeleteHongera sana kwa Dada yetu Miss Tz! Lakini Anko mbona usitutajie jina lake kamili?
ReplyDeleteMliakuvana, I guess what matters here is that she WON and nothing else! Me neither can not comprehend what she dressed in!
ReplyDeletenimependa sana jamani amejitahidi mtengenezaji si kazi rahisi kutengeneza hii jamani na akiendelea kubuni atakua mbunifu mzuri wa kimataifa kumbuka mbunifu ni kutoka morogoro nje ya mji basi amefanya kitu ambacho ni kigumu kama huna moyo kutengeneza au mlitaka mbunifu atoke marekani,tuwe tuna sifiana kwa kitu nikizuri sio kukatisha tamaa,maelekezo kidogo au kukosoana sio mbaya lakini sio kukatisha tamaa.
ReplyDeleteMe too! I am not sure what she is wearing but "WE WIN, WE WIN," Who cares!!!
ReplyDeleteSASA WATANZANIA NASI TUMEJIKOMBOA KWA KUPATA VAZI LA TAIFA. HUU NI UHURU KAMILI SASA.
ReplyDeleteKwa kweli ujinga wa wazungu ndio furaha ya Mwafrika :-) Nadhani wapo wanaofikiri Tanzania nzima tunaishi katika pori kuuubwa na wanyama wanakimbia kimbia mwituni kumbe wangejua wabongo maisha tambarare kwa baadhi wetu ghorofa inajengwa ndani ya miezi mitatu full aicondition everywhere kazini, kwenye gari, nyumbani, sehemu anayoenda pub kibao full AC mambo ya magari yanayoweza kulisha vijiji kwa mwezi mzima kudadadeki mtu anaendesha jijini Dar es salaam halafu vazi la taifa limepita magome ya miti aka mizizi...
ReplyDeleteNdio hivyo tena tumeshinda :-)
Big Up!
Nahisi wanadhani hata lugha zao hatujui... LMAO!
Wow!!!From Miss Tumaini to Miss Earth!!Hongera Evelyn, Am so happy for you! Hongera pia kwa Tanzania! Keep it up.
ReplyDelete