Habari Mdau
Naomba kuwakumbusha kuhusu show ya Tanzanight hapa Finland.Show ya kwanza ipo kesho tarehe 6.11.
Naomba kuwakumbusha kuhusu show ya Tanzanight hapa Finland.Show ya kwanza ipo kesho tarehe 6.11.
@ Korjaamo,
Helsinki na
kesho kutwa 7.11. @ Klubi,
Tampere.
Jukwaani wanapanda Sanaa Sana, Dudu Baya, Benjamin wa Mambo Jambo na Andrew Ashimba pamoja na wanamuziki toka Finland.Kwa maelezo zaidi tembelea viungo hivi:
http://www.clubworldbeat.com
Jukwaani wanapanda Sanaa Sana, Dudu Baya, Benjamin wa Mambo Jambo na Andrew Ashimba pamoja na wanamuziki toka Finland.Kwa maelezo zaidi tembelea viungo hivi:
http://www.clubworldbeat.com
Inapendeza kuona kuona wasanii kutoka nyumbani wanapata nafasi ya kuwasilisha sanaa ya nyumbani huku Ufini.
ReplyDeleteNi muda mwafaka kwao kutumia vizuri nafasi hiyo ili kujijengea majina yao na Tz kwa ujumla.
Kila la kheri Dudubaya,Ashimba na Sanaa sana