Watanzania wa Canton wanayo furaha kuwakaribisha watanzania wote waishio Canton, Ohio, na vitongoji vyake kwenye kusheherekea pamoja nasi siku kuu ya Eid El Hadji siku ya Ijumaa saa kumi na nusu jioni 4:30pm kwenye Ukumbi wa kisasa wa:
Saifert Flower Mill
7300 Wales Rd
North Canton.
Muziki utangurumishwa na Dj Mo....
vyakula asilia vya kumwaga na vinywaji mtindo mmoja.
Upatapo taarifa hii mfahamishe na mwingine.

Karibuni sana
Kamati ya Maandalizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mnapotoa matangazo kama haya muwe mnaandika na Nchi kwenye anuani. Mimi nipi Wales - UK na na ninakaa Canton. Nilihisi mnuso upo karibu na kwangu kumbe USA!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...