Wapenzi Wa Muziki kaeni Mkao Wa Kula, MSHALE msanii mpya anakuja kuwashika na Single yake Makini iiitwayo NIWE NAWE, Karibuni. Pini Hili Limerekodiwa Pale Fish Crab ,chini ya Producer Mahiri, LAMAR.

Ndani Ya Single Hii Mshale Amemshirikisha Rapper Maarufu katika Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, ambaye Jina Lake Limehifadhiwa Kwanza Mpaka Single hii Itakapoenda Redioni mapema wiki ijayo. Karibu MSHALE ndani ya Jukwaa la Bongo Fleva!”

FYI!:
Inatoka redioni Jumatano ijayo, 11th Nov, 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Jerry Muro wa ITV ameamua kuimba au wamefanana tu?

    ReplyDelete
  2. Kama vile mshkaji wa Voda ..................

    ReplyDelete
  3. msichana au mvulana??

    ReplyDelete
  4. lakini nawe michuzi huyu msanii ni wa jinsia gani? mbona naona kama dizaini sampuli hivi?

    ReplyDelete
  5. Mbona Huyu Mtu wa-bluu Mh Haya Mshale weeeee!

    ReplyDelete
  6. Kaka..Karibu Kwenye Jukwaa La Bongo Fleva..Ila Kaza Buti Muziki Si Lelemama..Big Up Son!

    ReplyDelete
  7. Ebwanaee..hii baab kubwa, lakini Michuzi mbona umemtoa mshikaji wa Blue wakati kwenye blog ya michuzi junior anaonekana fresh tu? anyway labda computer yako ilikuwa na mafua, mzeiya kaza buti...najua utakandamiza mbaya.

    Mdau
    RDK Victoria.

    ReplyDelete
  8. Uso wa bluu haujatulia kabisa... Sijaielewa hii.
    Nways, lets wait and hear the song.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...