
Wapenzi Wa Muziki kaeni Mkao Wa Kula, MSHALE msanii mpya anakuja kuwashika na Single yake Makini iiitwayo NIWE NAWE, Karibuni. Pini Hili Limerekodiwa Pale Fish Crab ,chini ya Producer Mahiri, LAMAR.
Ndani Ya Single Hii Mshale Amemshirikisha Rapper Maarufu katika Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, ambaye Jina Lake Limehifadhiwa Kwanza Mpaka Single hii Itakapoenda Redioni mapema wiki ijayo. Karibu MSHALE ndani ya Jukwaa la Bongo Fleva!”
FYI!:
Inatoka redioni Jumatano ijayo, 11th Nov, 2009.
FYI!:
Inatoka redioni Jumatano ijayo, 11th Nov, 2009.
Jerry Muro wa ITV ameamua kuimba au wamefanana tu?
ReplyDeleteKama vile mshkaji wa Voda ..................
ReplyDeletemsichana au mvulana??
ReplyDeletelakini nawe michuzi huyu msanii ni wa jinsia gani? mbona naona kama dizaini sampuli hivi?
ReplyDeleteMbona Huyu Mtu wa-bluu Mh Haya Mshale weeeee!
ReplyDeleteKaka..Karibu Kwenye Jukwaa La Bongo Fleva..Ila Kaza Buti Muziki Si Lelemama..Big Up Son!
ReplyDeleteEbwanaee..hii baab kubwa, lakini Michuzi mbona umemtoa mshikaji wa Blue wakati kwenye blog ya michuzi junior anaonekana fresh tu? anyway labda computer yako ilikuwa na mafua, mzeiya kaza buti...najua utakandamiza mbaya.
ReplyDeleteMdau
RDK Victoria.
Uso wa bluu haujatulia kabisa... Sijaielewa hii.
ReplyDeleteNways, lets wait and hear the song.