Marehemu Bernard Japhet Lema


Jumuiya ya wanafunzi wa Hyderabad, India (TSAH) inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzao, Bernard Japhet Lema (23) kilichotokea tarehe 24/11/2009 katika hospitali ya Apollo jiji hyderabad. Marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe 21/11/2009 na kukimbizwa hospitali.
Ijapokuwa sisi tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi.
Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa marehemu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. rest and peace bernard japhet na pole kwa familly.

    ReplyDelete
  2. rest and peace na pole kwa familiya ya bernard japhet

    ReplyDelete
  3. RIP

    pikipiki za India mmmh, ni hatari tupu

    ReplyDelete
  4. Makunda kassongoNovember 25, 2009

    Poleni sana kwa msiba, unanikumbusha xmass 2003 tulipata msiba kama huo wa Bariki, alikua kwangu ( R K Puram) that morning lakini jioni alipata ajali na kufariki na hataimaye nilileta mwili wa marehemu Morogoro. Najua hali inakuwaje huko sainikpuri. Poleni sana. Makunda Kassongo

    ReplyDelete
  5. Rest in peace bernard (mdudu)

    ReplyDelete
  6. Poleni kwa msiba!

    Balozi tunaomba usaidie kusafirisha maiti kwani kuna mtanzania mwenzetu alizikwa huku Hyderabad kwa kuwa wazazi hawakuwa na pesa za kusafirisha maiti.

    ReplyDelete
  7. RIP young man, you had everything ahead of you but God knows best. Our condolences to the family and friends

    ReplyDelete
  8. I didnt knw him well but I remember I met his bro once akaniambia mdogo wake anakuja kusoma India na sisi.Duh...katangulia..safari yetu wote.R.I.P

    ReplyDelete
  9. R.I.P Bernad Lema , poleni watanzania wenzangu wote Hyderabad , poleni kina Aika na Simbo Lema na familia nzima , Mungu awatie nguvu jamani tuko pamoja , graduate osmania 2008

    ReplyDelete
  10. Pole Familia poleni wanafunzi wote mlio nje ya nchi yenu mana najuwa huwa hii inatisha kidogo.

    ReplyDelete
  11. Poleni jamani kwa msiba, mungu ailaze mahali pema peponi, amina.

    ReplyDelete
  12. RIP Bernard

    ReplyDelete
  13. May he rest in peace. May the family be comforted by knowing that he is in a better place and one day they will reunite with their loved one. Such a young soul inasikitisha...

    ReplyDelete
  14. Jamani nimestushwa mno na habari hizi! RIP dearest Bernard, and my heartfelt condolences to the family. Mungu awe na nyie na awape nguvu katika kipindi hichi kigumu

    ReplyDelete
  15. ASSENGA'S FAMILYNovember 25, 2009

    May Your Soul Rest in Peace our Beloved Brother Bernard God Bless You Wherever You are n you will always be in our hearts,may God Bless his family too in this hardship period n give them strength to go on.

    ReplyDelete
  16. Pole nyingi kwa familia ya Marehemu, ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu mzito. Mungu ailaze roho ya Marehemu Peponi AMEN.

    ReplyDelete
  17. Poleni sana ndugu zetu wa Hyderabad kwa msiba huu mzito ulio wafikia. Sisi ndugu zenu wa Mysore tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kizito cha majonzi. Pia tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote wa marehemu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu. Amina.

    ReplyDelete
  18. May your sould rest in peace Benard:(

    ReplyDelete
  19. RIP kijana mdogo familia ilikuwa bado inakuhitaji,serikali ya Tanzania ilikuwa inakutegemea

    ReplyDelete
  20. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina

    ReplyDelete
  21. inna lilahi may his soul rest in peace we are together wa tz wa hyd.former predo wa chama.kash

    ReplyDelete
  22. RIP Bernard, poleni sana familia ya Lema, ur bros Abel Lema and Derick, poleni sana, he was young and full of life but kazi ya mungu haina makosa. May Your soul rest in peace.

    ReplyDelete
  23. rest in peace brother,tutakukumbuk sana japo umetutoka ,we are so sad ila hatuna jinsi,ni kazi ya mungu,nitoe pole kwa ndugu yake simbo mana ni wakati mgumu kwake na inambidi kushugulika..

    ReplyDelete
  24. Poleni sana wanafamilia kwa msiba huu, lakini wewe anony wa kwanza kuchangia, kwa nini usitumie kiswahili tu kama mie mwanzako nisiyeju ki-english?

    ReplyDelete
  25. R.I.P brother.

    ReplyDelete
  26. may his soul rest in eternal peace.AMEN

    ReplyDelete
  27. Dah ...poleni sana Simbo,Wesley ,familia ya mzee Lema na wana Hyderabad wote kwa ujumla especially wana Sainikipuri.Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi....Well, wadogo zangu wanafunzi wa India japokuwa wahenga wanasema ajali haina kinga lakini naombeni jitahidini sana kuwa waangalifu muendeshapo hizo pikipiki...It's really sad kuona kwamba kariabia kila mwaka kunatokea ajali zisizopungua 10 au 20 pande zote za ndia ambazo hatimaye husababisha vifo vya wanafunzi ,vijana wetu amabao taifa linawategemea kwa sana. 1.Kumbukeni kuzifanyia service za mara kwa mara hizo pikipiki zenu
    2.Kupunguza mwendokasi
    3.Kuepuka kuendesha pikipiki ukiwa umelewa.

    Rodrick mwambene(Ex-Osmania Unv-Hyderabad)

    ReplyDelete
  28. Man its now the history made,we ve been together all those Old Gold Days.hoodboys, frends and hommies misses you already!Symo Koy, Jayson Frizby,Collin Abrehams,Alpha we all miss you Buddy.2day we lying you body on your lifetime home man.May the living God rest your soul in erternal peace.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...