Jumuiya ya wanafunzi wa Hyderabad, India (TSAH) inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzao, Bernard Japhet Lema (23) kilichotokea tarehe 24/11/2009 katika hospitali ya Apollo jiji hyderabad. Marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe 21/11/2009 na kukimbizwa hospitali.
Ijapokuwa sisi tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi.
Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa marehemu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Amina
rest and peace bernard japhet na pole kwa familly.
ReplyDeleterest and peace na pole kwa familiya ya bernard japhet
ReplyDeleteRIP
ReplyDeletepikipiki za India mmmh, ni hatari tupu
Poleni sana kwa msiba, unanikumbusha xmass 2003 tulipata msiba kama huo wa Bariki, alikua kwangu ( R K Puram) that morning lakini jioni alipata ajali na kufariki na hataimaye nilileta mwili wa marehemu Morogoro. Najua hali inakuwaje huko sainikpuri. Poleni sana. Makunda Kassongo
ReplyDeleteRest in peace bernard (mdudu)
ReplyDeletePoleni kwa msiba!
ReplyDeleteBalozi tunaomba usaidie kusafirisha maiti kwani kuna mtanzania mwenzetu alizikwa huku Hyderabad kwa kuwa wazazi hawakuwa na pesa za kusafirisha maiti.
RIP young man, you had everything ahead of you but God knows best. Our condolences to the family and friends
ReplyDeletePumzika salama. Amen!
ReplyDeleteI didnt knw him well but I remember I met his bro once akaniambia mdogo wake anakuja kusoma India na sisi.Duh...katangulia..safari yetu wote.R.I.P
ReplyDeleteR.I.P Bernad Lema , poleni watanzania wenzangu wote Hyderabad , poleni kina Aika na Simbo Lema na familia nzima , Mungu awatie nguvu jamani tuko pamoja , graduate osmania 2008
ReplyDeletePole Familia poleni wanafunzi wote mlio nje ya nchi yenu mana najuwa huwa hii inatisha kidogo.
ReplyDeletePoleni jamani kwa msiba, mungu ailaze mahali pema peponi, amina.
ReplyDeleteRIP Bernard
ReplyDeleteMay he rest in peace. May the family be comforted by knowing that he is in a better place and one day they will reunite with their loved one. Such a young soul inasikitisha...
ReplyDeleteJamani nimestushwa mno na habari hizi! RIP dearest Bernard, and my heartfelt condolences to the family. Mungu awe na nyie na awape nguvu katika kipindi hichi kigumu
ReplyDeleteMay Your Soul Rest in Peace our Beloved Brother Bernard God Bless You Wherever You are n you will always be in our hearts,may God Bless his family too in this hardship period n give them strength to go on.
ReplyDeletePole nyingi kwa familia ya Marehemu, ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu mzito. Mungu ailaze roho ya Marehemu Peponi AMEN.
ReplyDeletePoleni sana ndugu zetu wa Hyderabad kwa msiba huu mzito ulio wafikia. Sisi ndugu zenu wa Mysore tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kizito cha majonzi. Pia tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote wa marehemu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu. Amina.
ReplyDeleteMay your sould rest in peace Benard:(
ReplyDeleteRIP kijana mdogo familia ilikuwa bado inakuhitaji,serikali ya Tanzania ilikuwa inakutegemea
ReplyDeleteRaha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina
ReplyDeleteinna lilahi may his soul rest in peace we are together wa tz wa hyd.former predo wa chama.kash
ReplyDeleteRIP Bernard, poleni sana familia ya Lema, ur bros Abel Lema and Derick, poleni sana, he was young and full of life but kazi ya mungu haina makosa. May Your soul rest in peace.
ReplyDeleterest in peace brother,tutakukumbuk sana japo umetutoka ,we are so sad ila hatuna jinsi,ni kazi ya mungu,nitoe pole kwa ndugu yake simbo mana ni wakati mgumu kwake na inambidi kushugulika..
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia kwa msiba huu, lakini wewe anony wa kwanza kuchangia, kwa nini usitumie kiswahili tu kama mie mwanzako nisiyeju ki-english?
ReplyDeleteR.I.P brother.
ReplyDeletemay his soul rest in eternal peace.AMEN
ReplyDeleteDah ...poleni sana Simbo,Wesley ,familia ya mzee Lema na wana Hyderabad wote kwa ujumla especially wana Sainikipuri.Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi....Well, wadogo zangu wanafunzi wa India japokuwa wahenga wanasema ajali haina kinga lakini naombeni jitahidini sana kuwa waangalifu muendeshapo hizo pikipiki...It's really sad kuona kwamba kariabia kila mwaka kunatokea ajali zisizopungua 10 au 20 pande zote za ndia ambazo hatimaye husababisha vifo vya wanafunzi ,vijana wetu amabao taifa linawategemea kwa sana. 1.Kumbukeni kuzifanyia service za mara kwa mara hizo pikipiki zenu
ReplyDelete2.Kupunguza mwendokasi
3.Kuepuka kuendesha pikipiki ukiwa umelewa.
Rodrick mwambene(Ex-Osmania Unv-Hyderabad)
Man its now the history made,we ve been together all those Old Gold Days.hoodboys, frends and hommies misses you already!Symo Koy, Jayson Frizby,Collin Abrehams,Alpha we all miss you Buddy.2day we lying you body on your lifetime home man.May the living God rest your soul in erternal peace.
ReplyDelete