Marehemu Emiliana Mwidunda
Wanafunzi wanaosoma Moscow Russia Chuo Kikuu Cha Urafiki Lumumba tunasikitika kwa kumpoteza dada yetu Emiliana Mwidunda.
Emiliana ambaye alikuwa anasoma medicine mwaka wa nne alifariki tarehe 16 /11/2008 na mwili wake ulisafirishwa kenda Tanzania tarehe 20/11/2008.
tunasikitika kwa kumpoteza daktari wetu mtarajiwa.
tunasikitika kwa kumpoteza daktari wetu mtarajiwa.
Mola aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu.
AMINA
picha za enzi ya uhai wa Emmy



Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema...siku zote vitu vizuri havidumu
ReplyDeletePoleni ndugu zetu wa moscow
ReplyDeletethis really came as big shock to me, tumesoma wote marian girls high school, and i have not seen her tangia tumemaliza,ndo nakuja kumwona now kwenye picha akiwa amefariki...this is so sad for me, and for everyone who loved her....
ReplyDeleteTunaweza tusielewe kwanini ametutoka, lakin Mungu anajua zaidi, Tumshukuru kwa kila jambo.
Bwana uwafariji familia yake kwa wakati huu mgumu.
Mungu alitoa, naye amechukua alichotoa, Jina lake na lihimidiwe. Asanteni wadau.
ReplyDeletePoleseni Ndugu zetu Moscow na watanzania Wote ...Wadau Ukraine...Pili Michuzi data nahisi umezikosea sasa ni 2009 nasiyo 2008
ReplyDeleteMola aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu.
AMINA
duhuuu kafaa bado kijana daktari wetu mtarajiwa.kazi ya mungu haina makosa.RIP OUR SISTAA
ReplyDeleteWanafunzi, marafiki, ndugu na jamaa wote wa Moscow, Tanzania na popote pale mlipo, POLENI sana kwa msiba huu. Mungu ailaze pema roho ya marehemu mahali pema - Amina
ReplyDeleteNOTE: Nadhani hapo tarehe inaonesha ni mwaka jana 2008, nadhani msiba huu umetokea mwezi huu wa 11, 2009. Au nami nimekosea??
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com
San Diego, CA
may God rest ur soul in peace.AMEN
ReplyDeletePoleni wazazi na familia kwa ujumla.Mungu akusamehe na kukurehemu dada.
ReplyDeletepoleni sana jamani na msiba huu najua huyu ni dada yangu kutoka iringa bali kwa wanaomjua, jina hili si geni nahisi dada huyu alisoma Iringa Girls naomba kukumbushwa au kujulishwa tafadhali kama ni kweli au siyo..
ReplyDeletepoleni ndugu na jamaa...tutamuombea
ReplyDeletePoleni sana wa-Tanzania,niliipata habari mapema.Niliumia sana.....
ReplyDeleteMdau- Mbije,A
Pole sana Maka, Nico, wanafunzi, ndugu, marafiki wote wa Moscow pamoja na familia. Pumzika kwa amani mdogo wangu Emmy.
ReplyDeleteMama Clara
R.I.P cster(((
ReplyDeleteAsala aleykum wadau!kwanza niwape pole sana kwa habari zlizotufikia za kufiwa na dada yetu mpendwa!kwa naiba ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza nchini algrie watanzania tunatoa pole kwa ndugu na jamaa wote wa marehemu dada yetu tunaungana nao kumuomba MWENYEZI MUNGU ailaze roho ya marehemu pahala pema ammiiin!
ReplyDelete"Her ideas and ideals are stamped on scores of dignity, respectability and reflected in millions of lives from her home land, as well as we especially, young student -- in seniors who know new dignity, in families that know new opportunity, in children who know education's promise, and in all who can pursue their dream in Medicine field as a future Doctors, that is more equal and more just -- including myself. Actually Emmy inspired many young generation.
ReplyDelete"Her extraordinary life on this earth has come to an end. And the extraordinary good that she did lives on. For her family, she was a guardian. For Tanzanian, she was the defender of a dream.
Look! Don’t cry and don’t feel sad, I hope she has gone home where she belong!
Bakunda!
Moscow city-Russia
Roho za marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa Amani. AMEN.
ReplyDeletepolen sana watu moscow. rekebisha tarehe kidogo sio 2008
ReplyDelete