Kaka Michuzi,
Habari za leo, pole na shughuli zako za kila siku, sipendi kuchukua muda wako mwingi ila nimeamua kuwaeleza wadau wenzetu wa Blog letu kuwa:
Kuna Internet Cafe and Stationary la kiukweli maeneo ya Ukonga - Mzambarauni, karibu linafunguliwa(Soon to be open), hivyo anatafutwa BINTI mtanashati wa umri wa kati, mcheshi and mwenye uzoefu na kazi za stationery na Internet cafe kwa ajili ya kufanya kazi hapo.
Ofisi no full AC na ina mazingira mazuri ya kufanyia kazi. Huduma zote hutolewa kama ilivyo elezwa hapo chini:
Photocopy
Printing
Lamination, Binding, scanning etc.
Internet & Games
PC Maintenance

Mbali na hizo pia wanaweza kujipatia bidhaa nyingine nyingi tuu.
Kwa Mawasiliano kwa wale wote waombao nafasi za kazi wapige simu namba: 0655444666 au email: kattymax2001@yahoo.com
TANGAZO HILI NI KINYUME NA MISINGI YA USAWA KATIKA AJIRA INAYOTANGAZWA NA I.L.O NA HATA SERA YA UTUMISHI NA AJIRA YA NCHI YETU.
ReplyDeleteKWA NINI AWE TU MSICHANA? HATA KAMA KUNA VIJANA WA KIUME WENYE SIFA NA UZOEFU ZAIDI WA KAZI HIYO?
HUU NI UBAGUZI WA JINSI YA KIUME.
NAONA SASA WATU WANATAKA UANZISHWAJI WA NGOs ZA AJABU AJABU KAMA VILE MTANDAO WA UTETEZI NA UREJESHAJI WA HADHI YA ADAMU (MUUHA)!
kattymax2001@yahoo.com BADILIKA MAANA LEO TUNA HATA WAUGUZI- WAKUNGA WA KIUME (JINA MIDWIFE HALIPO TENA)SEMBUSE KATIKA KAZI ZA UHAZIRI NA UKARANI?
Mbona hiyo ajira ni ya ajabu sana manake qualifications nilizoziona hapo awe binti,mtanashati,mcheshi na umri wa kati,elimu hajataja kama ni ya chekechea au primary au chuo?
ReplyDelete"Ofisi no full AC na ina mazingira mazuri ya kufanyia kazi" sasa hapo ameshasema ofisi haina AC hapohapo ina mazingira mazur tueleweje?
Huu ni ubaguzi wa kijinsia katika kazi. Hakuna tofauti kati ya tangazo hili na tangazo linalosema anatafutwa meneja mwanaume.
ReplyDeletePIA HALINA TOFAUTI NA YALE MENGINE YANAYOSEMA ANATAFUTWA MENEJA WA BENKI LAKINI ASIZIDI MIAKA 35, PIA HUO NI UBAGUZI NA UMEPITWA NA WAKATI, KWENYE KAZI SASA HAKUNA CHA UMRI ILIMRADI MTU YUKO NDANI YA UMRI WA KUFANYA KAZI KIKATIBA ANAWEZA KUAJILIWA KAMA ANASIFA. MAMBO UMRI JINSIA NA KADHALI YAMEPITWA NA WAKATI KATIKA KARNE HII SASA.
ReplyDeletewee mshkaji huna lolote hujui kutongoza tu...!!
ReplyDeleteHuyu hana Kazi ya ofisi kama hiyo. Ndo wale ambao hawajui kutafuta wanawake kwa njia halali bali kuwarubuni kana kwamba wanatafuta wafanyakazi kumbe uongo badala yake wna taka hongo ya ngono na kazi hawawapi hawa wasichana. Janjarukeni wasichana ili msichezewe ovyo.Huu ni uongo mtupu, halafu michuzi uwe unaangalia kwanza vitu vingine kabla haujashare na watu.Vitu vya kibinafsi vifutilie mbali.
ReplyDelete