Mtafasiri wa lugha za alama kwa watu wenye ulemavu , akiandika alfabeti za maneno katika kiganja cha Mwenyekiti wa Chama cha wasioona Tanzania ( TASODEB), David Shaba ( kulia) ambaye pia ni mlemavu wa kutoona wakati wa semina ya mafunzo ya uongozi wa viongozi wa kitaifa wa vyama wa vyatu wenye ulemavu nchini yaliyofanyika leo Morogoro. Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Then, somebody like that is being paid a monkey salary, while out there these kind of people are being paid enormously, kwani inataka moyo wa upendo na wito wa kujitolea, kujifunza na kuelewa lugha za wenzetu hawa.

    ReplyDelete
  2. Unless you say that the man is also a deaf, this doesnt make any sense. A blind person isnt necessarily a deaf.

    ReplyDelete
  3. Anon wa 09.50 kila jambo huwa lina makusudi yake, mfano tu fikiria kama anaehutubia ni mtu asie sikia na anatumia alama za wasiosikia kutoa hotuba yake wengine wanaona na kuelewa je huyo asieona ataziona vipi? Maana si lazima kuwa anaetoa hio hotuba awe ni mtu anaye ongea kwa sauti.

    ReplyDelete
  4. annon #1 brilliant excellent!!

    khaa jamani inatia hasira sana sana

    hongera mama sikujui ila kazi yako utalipwa mbinguni na umentia sana moyo...umu duniani hakuna haki kabisa watu ni wanyama na kushibisha mitumbo yao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...