Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi wa
UNHCR nchini, Bw. Yacoub El Hillo ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaa kuaga baada ya muda wake wa kazi kumalizika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wakati watu kama hawa wakiaga na kuondoka ingekuwa vema tuambiwe, japo kwa kifupi, ni yapi wameyafanya hapa na changamoto zipi wanaziacha kwa haowanaokuja baada yao. Suala zima la wakimbizi kaskazini magharibi mwa Tanzania na kungineko linajulikana kidogo kwa walio nje ya mashirika haya, wenyeji wa maeneo yalioathirika na wale waliohusika moja kwa moja.

    ReplyDelete
  2. bye bye El hillo. michuzi nina picha zingine za kumuaga alipotutembelea katika kambi ya Wakimbizi Ulynakulu Old Settlement, Tabora. We gonna miss him a lot.

    ReplyDelete
  3. Bye bye El Hillo, we wish you all the best. Anonymous wa Ulyanka nitaomba na mimi unitumie hizo picha maana niliwahi kufanya kazi Ulyankulu 2008-2009, kwa email hii gmrevs@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. he is a good person....I remember working with him at one of the official visits in Kigoma. I will miss him

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...