Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Namawala, Kata ya Idete, Wilaya ya Kilombero kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Zuberi Kapindijega ( wapili kutoka kushoto) akifurahia jambo baada ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machinya , ( wakanza kushoto) kusikiliza kero za wakazi wa kijiji hicho ukiwemo wa mgogoro wa ardhi na mwekezaji wa mashamba ya Luipa. Picha na John Nditi.
Home
Unlabelled
MWENYEKITI WA KIJIJI CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jamani hembu tuweni wastaarabu kidogo na majina ya watu especially hawa wakubwa wetu wa nchi. kumwita mkuu wa mkoa jina kama hilo ni aibu we are not seriuos at all.
ReplyDeleteanaitwa kanali mstaafu ISSA MACHIBYA