ahmed maulid akipongezwa na mai hazbendi wake kilasa mtambalike ambaye sasa ni afisa habari vodacom baada ya kustaafu daily news

Waandishi waandamizi wa kampuni ya TSN ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Dailynews na Habari Leo wakiwa na furaha wakati wa kukata keki yao ya pongezi baada ya kudaka nondozzzz zao katika mahafali ya 21 ya chuo kikuu huria Tanzania(OUT) wikiendi ilopita. Kutoka kushoto ni Maulid Ahmed, Stellah Nyemenohi na Jamilah Kilahama. Wengine ni ndugu zao waliofika kuwapongeza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hongereni waandishi kwa kujiongezea maarifa. Dunia ya sasa mwandishi bila digrii ni sawa na kutwanga matope. Tumekuwa tukipata tabu kweli inapotokea kuhojiwa na mwandishi asiye na uelewa wa mambo. Badala yake, wakati mwingine huwa tunajikuta katika maofisi, tunaanza kuwaelimisha waandishi hata mambo ya kawaida ambayo walipaswa wayafahamu.
    Nawapongeza hawa mabinti. nao wasiishie kidigrii waendelee hadi PhD

    ReplyDelete
  2. Big up Maulid! aim for higher credentials. You are still young.

    loving sister

    ReplyDelete
  3. maulid hongera sana nimefurahi kukuona kwani tangu tumalize primary hatujaonana. hata hivyo umechelewa kupata degrii nikikumbuka ulivyokuwa na akili sana darasani tena ukituwacha nyuma wasichana wote na hata midume, sijui kwa nini hujakuwa mhasibu maana kwa hesabu sikumbuki kama uliwahi kupata chini ya 90

    ReplyDelete
  4. Maulid kuna mwenye namba yake?

    ReplyDelete
  5. michuzi naomba namba ya MAULID au unabana?

    ReplyDelete
  6. wewe unayetaka namba yake wenzio hawaombi hivo kwanza wanajitambulisha majina yote na wanapoishi au kufanya kazi na uhusiano uliokuwa naye. pia weka namba yako wewe ili naye akiiona aweze kukupigia.

    ReplyDelete
  7. Nyie mnaotaka namba ya simu ya maulid hebu tufafanuklieni mnaitakia nini. Maulid kaolewa jamani msitafute ubaya na watu!

    ReplyDelete
  8. Mzee Kilasa, habari ya siku bwana. Salamu, na hongera na wifey. Tulifanya kazi pamoja editorial room, newafrica.com. Safi sana, naona mambo siyo mabaya.

    ReplyDelete
  9. hongera sana kilasa kwa kumuoa maulid maana ulikuwa ukimpenda sana nafurahi kuona umetimiza ndoto yako ila sasa punguza pombe wanawake wazuri hawapendi pombe ukizingatia maulid watu wengi walikwa wakimpenda

    mdau tulikuwa wote sky

    ReplyDelete
  10. nilishindwa elewa MAULID=mwanamme au mwanamke
    kumbe mwanamke??anyway

    afu wee kaka,kilasa sura yako km tulikua wote UDSM??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...