Mwenyekiti mkuu wa wilaya ya nani hii.
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri ya kutufahamisha kila linarojili uko nyumbani na kote duniani. Leo ningependa nisheee na wadau kuhusu nchi ya Iceland nchi yenye vivutuo vya asili kale.

kama hapa Blue Lagoon kwenye maji ya moto ambayo iko wazi na maarufu sana,iligunduliwa na watu wa nne waliokuwa kwenye lisechi na kubaini maji moto hayo na kilikuwa kipindi cha barafu na baridi kali sana.
Wadau wanao jua zaidi kuhusu hii nchi naomba watueleze tuelimike zaidi na waosha vinywa wapate lau kajielimu ka kubadilika. kweli Mungu kaumba mbingu na vilivyomo ndani yake
Mdau Iceland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kumbe walifanya lisechi, kama wangefanya risechi nadhani wangejua kwamba volkano inasababisha yanakuwa ya moto

    ReplyDelete
  2. WE MDAU WA ICELAND UNAONEKANA KUSHANGAA SANA HIZO "HOTSPRINGS"....NJOO JAPAN!! ANYWAYS, THANKS!

    ReplyDelete
  3. Uncle nani hii kazi yako nzuri

    ReplyDelete
  4. Natafuta vyuo kusoma huko Iceland
    Kama kuna mdau anajua vyuo anidokezee , kozi za Early Learning and Children Psychology
    Nataraji wadau watamwaga data

    Mlundukwa Maiga
    m.maiga@gmail.com

    ReplyDelete
  5. VILE VILE WANATUMIA HAYO MAJIMOTO KATIKA PRODUCTION YA UMEME.

    ReplyDelete
  6. Ahsante Dunda nasitumeiyona Blue Lagoon Iceland tulikuwa tunaisikia jinsi ilivyo maarufu
    Hongera sana
    Mwanakijiji Fotobaraza

    ReplyDelete
  7. Wewe mdau wa Sun Nov 08, 02:47:00 PM.umesoma alivyo andika mdau wa Iceland.Nanu kuu (lau waosha vinywa wapate kajieleimu)yeye nauli yake imeishia Iceland aje Japan kufata nini mbona ya japan utuwekei hapa?au ndio unaonyehsa uwanakharamu wako kwa kuwa uko kwenye chupa
    Mdau wa Iceland ahsante kwa mandahali ya Blue Lagoon

    ReplyDelete
  8. sasa huo ni mvuke yanatokota ,au

    ReplyDelete
  9. Nachukia neno 'lisechi'. Kwanini iwe 'lisechi'?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...