Hayati Kenny Wilson Mkini
Kwa niaba ya familia ya Mr+ Mrs Mkini tunapenda kuwashukuru jumuia ya watanzania waishio Uingereza pamoja na Ofisi yetu ya Ubalozi kwa kuweza kufanikisha kusafirisha mwili wa kijana wao Kenny Wilson Mkini ambaye alifariki dunia tarehe 13/10/09 huko Milton keynes na kuufikisha Iringa Tanzania ambako mazishi yalifanyika tarehe 31/10/09.
Mungu awabariki na kuwalinda katika shughuli zenu za kila siku.
AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu Kenny Wilson ameshawahi kuishi Njombe wakati fulani? Pia kawahi kuishi dar? anayefahamu please naomba anijulishe kama ni yeye, jamaa alikuwa mwanangu sana wakati wa utoto sema mambo ya wazazi kuhama kikazi tukapoteana. anaye mjua kenny tafadhali nijulishe

    ReplyDelete
  2. Poleni Mr.& Mrs Mkini, na wenzetu kina Frola,Frank,Andrew,Easter, na Cesar, poleni kwa kumpoteza mdogo wenu Kennedy, sisi wadau wa Florida pale kimara Bucha pamoja na familia za wazee wetu kuanzia Mwambegele,Kayage,Kobe,Rweyemamu,
    Nanji,Mbeyela,
    Kato,Mrosso,Sawe,Ramadhani(baba yake Ally Gebo),Komba,Ndesanjo,Kazinja,Rwegoshora,
    Luvanda,Gebi,Kimaro,Mama Mzungu,Mmari,Kimamla,Nicco,
    Liyuu,na mjumbe wetu Plantani!tunatoa salaam za pole kwa msiba mlioupata. Mungu awajalie nguvu na heri katika kila jambo.
    Mdau wa frolida pale pale kwa mzee Ramadhani

    ReplyDelete
  3. La, siamini macho yangu. poleni sana wafiwa. Mama faith,Mama vanessa,Mwakitwange,Deo na wote wakaribu. bwana ampatie mapumziko mema.
    Mwakipesile,USA

    ReplyDelete
  4. eti wapendwa,je huyu ni mtoto wa doctor mkini ambae ni gynocologist?

    ReplyDelete
  5. ndiyo mtoto wa doc

    ReplyDelete
  6. poleni sana na msiba; kwani what happened ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...