Kwa niaba ya familia ya Mr+ Mrs Mkini tunapenda kuwashukuru jumuia ya watanzania waishio Uingereza pamoja na Ofisi yetu ya Ubalozi kwa kuweza kufanikisha kusafirisha mwili wa kijana wao Kenny Wilson Mkini ambaye alifariki dunia tarehe 13/10/09 huko Milton keynes na kuufikisha Iringa Tanzania ambako mazishi yalifanyika tarehe 31/10/09.
Mungu awabariki na kuwalinda katika shughuli zenu za kila siku.
AMINA.
Huyu Kenny Wilson ameshawahi kuishi Njombe wakati fulani? Pia kawahi kuishi dar? anayefahamu please naomba anijulishe kama ni yeye, jamaa alikuwa mwanangu sana wakati wa utoto sema mambo ya wazazi kuhama kikazi tukapoteana. anaye mjua kenny tafadhali nijulishe
ReplyDeletePoleni Mr.& Mrs Mkini, na wenzetu kina Frola,Frank,Andrew,Easter, na Cesar, poleni kwa kumpoteza mdogo wenu Kennedy, sisi wadau wa Florida pale kimara Bucha pamoja na familia za wazee wetu kuanzia Mwambegele,Kayage,Kobe,Rweyemamu,
ReplyDeleteNanji,Mbeyela,
Kato,Mrosso,Sawe,Ramadhani(baba yake Ally Gebo),Komba,Ndesanjo,Kazinja,Rwegoshora,
Luvanda,Gebi,Kimaro,Mama Mzungu,Mmari,Kimamla,Nicco,
Liyuu,na mjumbe wetu Plantani!tunatoa salaam za pole kwa msiba mlioupata. Mungu awajalie nguvu na heri katika kila jambo.
Mdau wa frolida pale pale kwa mzee Ramadhani
La, siamini macho yangu. poleni sana wafiwa. Mama faith,Mama vanessa,Mwakitwange,Deo na wote wakaribu. bwana ampatie mapumziko mema.
ReplyDeleteMwakipesile,USA
eti wapendwa,je huyu ni mtoto wa doctor mkini ambae ni gynocologist?
ReplyDeletendiyo mtoto wa doc
ReplyDeletepoleni sana na msiba; kwani what happened ?
ReplyDelete