Home
Unlabelled
simba yaendeleza ubabe ligi kuu ya vodacom
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inapendaza! kazi nzuri sana Simba mwaka huu!!
ReplyDeletehapo ndo tofauti na ni mbinu zinazotakiwa kuigwa na kuenziwa na taifa zima, hakuna cha mchezaji mrefu au mnene watu wanaweza wapeni nafasi tu. ujumbe umefika!!
kwanini simba na phiri isiwe timu ya taifa?
ReplyDeletekaribu nyumbani kaseja
JAMANI naomba kama mtu anayo website ya simba anipatie tafadhali
ReplyDeleteWATANZANIA TUAMKE TULIKO LALA, HUYU KOCHA WATAIFA NA TENGA WAKE NI WABOVU, KASEJA KAKOSA NINI AMBACHO TAIFA HALIWEZI KUMSAMEHE,WEWE UMEONA WAPI KATIKA DUNIA HII MCHEZAJI MZURI HACHUKULIWI TIMU YATAIFA , KAMA ANAMATATIZO BASI FAT NDIO WAKUSEMA SIO MAXIMO, KUMBUKA TENGA MAXIMO ANACHUKUA PESA ZA WALALA HOI HALAFU ATAONDOKA ,WEWE NDIO WENYE NGUVU HAPO SIO MAXIMO,HATA CAPPELO HAWEZI KMUACHA ROONEY INGAWA HANA NIDHAMU, MBONA RIO KAFUTA BANGI NA SASA NI VICE CAPTAIN WA ENGLAND, MTOTO AKINHIE KIGANJA HUKATI MKONO ILA HUUSAFISHA NAMAJI NA SABUNI,TENGA AMKA ULIKO LALA ACHA KUWA MZIGO WATAIFA
ReplyDeleteSoka siku hizi ni sayansi inayoambatana na mbinu, maarifa, na ujuzi. Tafauti kocha mbunifu na na wale makocha ambao hutegemea miujiza ndo hii! Hii ni type ya kina Morinho, Carlo A. ambao wakisimama mahali kazi zao lazima zionekane.
ReplyDeleteHongera wekundu
kikosi cha taifa hiki hapa
ReplyDelete1.kaseja
2.nyoni
3.jabu
4.yondani
5.swed
6.banka
7.ngasa
8.chiji
9.mgosi
10.mrwanga
11.kazimoto
kocha mzirary mshauri juma mkamia
Anon Nov 16, 12.40 pm try this website - www.simbasportsclub.com
ReplyDeleteMon Nov 16, 12:48:00 PM kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira usingeandika hivyo. TFF hawana makosa kwani hata kwenye listi ya makocha waliyoipeleka kwa JK huyo maximo hakuwepo,, so huna point hapo huyu ni kocha aliyeletwa na serikali na ambaye anafull control na timu haingiliwi na mtu.Na TFF wanaheshimu maamuzi ya mkuu. Atakae mtoa maximo ni aliyemleta
ReplyDeletehongera TFF tunajua mmeitoa wapi FAT ya Ndolanga na mpira wa tz
SASA MBONA KIKWETE KAWAMBIA TFF AJIANDAE KUMLIPA MSHAHARA, NYINYI NDI WALEWALE TIMU HAINA MUELEKO, HATA NDALONGA ANGEPEWA MSADA NA SERKALI ANGEKUWA MZURI,TOKA MAXIMO AMECHUKUA TIMU KAFANYA NINI CHA MAANA,KAZI KUBWA ZENGWE TUU, MPIRA NI SAYANSI SIO MANENO MATUPU,WEWEW UNA JARIBU KUMTETEA TENGA LAKINI TENGA KABORONGA HANA JIPYA, MPAKA LEO HII MAREFA WANACHUKUA RUSWA DHAHIRI, ANA PENDELEA YANGA DHAHIRI, SASA TUTAFUTE KOCHA MWINGINE AMBAYE ATATUPELEKA MBALI , KWANI HAT FANALI YA CHALENJI HATUTAIONA MWAKA HUU
ReplyDeleteWabongo kwa kuchanganya mambo? Simba na taifa stars wapi na wapi,tujadili simba -ambayo inatisha kwa rekodi mechi 11 point 33,naomba rekodi zaidi katika hii kwa Afrika,then dunia nzima.
ReplyDeletebig up simba-na kaseja lazima arudi stars maximo atake asitake.
WEBSITE YETU WANA LUNYASI TAIFA KUBWA NI:
ReplyDeletewww.simbasc.com
AHSANTE WADAU
Kama MUNGU anasamehe why not u Maximo? Mogoro gani usieisha. Wekeni kikao myamalize 2nataka kuiyona Tz inaenda mbali. Maximo ni Kocha mzuri ila ana kigeugeu mda mwingine I cant stand him.
ReplyDelete