By Ayoub mzee
Staged annually in London, World Travel Market is a vibrant must attend four day business to business event presenting a diverse range of destinations and industry sectors to UK and International travel professionals. It is a unique opportunity for the whole global travel trade to meet, network, negotiate and conduct business under one roof. By attending World Travel Market, participants efficiently, effectively and productively gain immediate competitive advantage for their business and stay abreast with the latest developments in the travel industry

TTB official Mzee Macha fields questions from visitors at the Tanzania booth
Hon Lucy Owenya (right) is also attending the event



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mh Lucy Owenya. Naona kweli unaweza kubalance muda wako vyema. Siasa kama wajibu wako kwa jamii na Biashara kama wajibu wako wa kufamilia. Naona banda la K's linapendeza. Halafu nisikie wanachana wa nanihii wakikutuhumu ati "ufisadi". wangejua umezaliwa ukiongoza wataliii? keep it up Lucy Philemo Ndesa(Mrs Dr. Owenya)

    ReplyDelete
  2. Hivi serekali na taasisi zetu hazina vijana wanaoweza kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye maonyesho kama haya? Au per diem zinatawala sana wazee hawataki kupumzika?

    ReplyDelete
  3. annon 6.54pm umenena

    ndo vituko vya nchi hii

    ReplyDelete
  4. Baada ya Kutangaza nchi, watalii wakija Bongo mnawasumbua na cheti cha manjano. Lazima serikali iwabane makampuni ya ndege kupunguza bei z atiketi ili watalii na Wabongo wengi waweze kuja kutembea na kuona familia. Pia, serikali ingewarudishia wageni na watanzania wanaoishi nje VAT zao wakinunua bidhaa kama wanavyofanya nchi nyingine ili iwapunguzie gharama za kuja Bongo. Utakuta tiketi peke yake ya kuja Bongo ni dola 1800 kutoka Asia na dola 1000-1500 kutoka Ulaya. Mara nyingi watalii wanaamua kwenda nchi jirani kwa kuwa ni rahisi zaidi.

    ReplyDelete
  5. Afadhali hapa wamechangamka Wazee, wanaonge na wateja. Waliokaa katika kibanda chetu cha Japan mwaka huu walikuwa wamenuna kichizi na mara nyingi walikuwa missing-in-action katika banda wakati wakenya walikuwa na bendi yao wanawaburudisha watu na kutoa kahawa bure.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...