DUDU BAYA , BENJAMIN WA MAMBO NA WASANII WA KIKUNDI CHA SANAA SANA WAKIWA PAMOJA JUKWAANI JAMBO
WASANII SANAA SANA KAZINI

MSANII JHIKO MAN NA KUNDI LAKE JUKWAANI.

WASANII KUTOKA TANZANIA AKINA JHIKO MAN, DUDU BAYA, BENJAMIN WA MAMBO JAMBO NA SANAA SANA PICHANI WAKITUMBUIZA KATIKA SHEREHE ZA TANZANIGHT ZILIZOFANA SANA JIJINI HELSINKI, FINLAND, WIKIENDI HII.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka Jhiko nakufagilia endelea hivyo hivyo na moyo wako wa kujituma Mungu yu pamoja nawe atazidi kukusaidia, ni mimi dada yako tuwasiliane kwa email, mkambanga@yahoo.com

    Asante.

    ReplyDelete
  2. Mi kila siku nionapo habar za Finland namkumbuka rafiki yangu Ngasa ambrose,Gido,muddy,alifa,dah sijui wako wapi sasa.mawasiliano yangu ni:lee.monica@yahoo.co.uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...