Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu kushoto akimkabidhi Meneja wa Vipindi wa Times FM Radio, Scolastica Mazula hundi yenye thamani ya sh. milioni 5 za udhamini wa Tamasha la Mitikisiko ya Taarabu. Hafla hiyo ilifanyika, Dar es Salaam aja. Anayeshuhudia kulia ni Mwimbaji mkongwe wa taarabu wa Tanzania One Theatre (TOT), Ali Star.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. du jamaa kaitolea macho cheki huyu yaani hajawai kuona million tano! he going to drink lots of safaris today ha ha ha.TBL wakigombea Uraisi mwakani watashinda!

    ReplyDelete
  2. Ally Star jua linazama, kumbe siku hazigandi!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...