Home
Unlabelled
JK amaliza ziara jamaica
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Kikwete ila Kuna watu wamemponda Mama yetu Salma eti hata kwenda kutalii kavaa kitenge hajavaa kama Michele Obama vi bukta, Mwacheni Mama yetu Salma anajuwa kujiheshimu anavaa kitenge ndio vazi letu la kujulikana Mama wa Kiafrica. Kingwendu
ReplyDeleteWa Gwan kaka Bruce pale.
ReplyDeleteWa Gwan.
= = =
Buffalo,
New York
Bora na bongo ianze kuuza green.maana ya Bongo kali sana(cha mgomba)
ReplyDeletewaosha vinya na macho nauliza je mnaona sawa mkataba utiwe na rais wetu ha nji ya green aje waziri wao atiye siini,hamuoni kama heshma ya raisi wetu imepunguzwa hapo.Kama hamuoni poleni sana tena sana kwa sababu mngewajua jinsi wajamaica wavyowaponda waafrica mngeniunga mkono haya nisemayo, tembeeni nchi za wenzetu mungu akukujaliyeni na mkae nao na kujifunza mtachoka wenyewe..
ReplyDeletewao japo kuwa wana utamaduni wa kiafrica lakini hawawapendi waafrica labda marasta ferian peke ndo wanatupenda na kutudhamini sisi waafrica wote.
si shangai kumuona raisi wetu mpendwa kutia mkataba na waziri wao,kwa nini wasimueke nawao raisi wao..
Anony 09:06.
ReplyDeleteMkuu wa serikali ya Jamaica ni Waziri Mkuu, hakuna Raisi Jamaica. Jamaica wana Gavana ambaye ni mwakilishi wa Malkia wa Uingereza ingawa Jamaica ni nchi huru. Wao wameamua kuwa na serikali ya namna hii na sio kukata kabisa Malkia wa Uingereza katika nchi yao kama sisi.
Majibu ya muundo wa serikali ya Jamaica au nyingineyo ni rahisi sana kupata katika internet. Jaribu ku google kabka hujauliza maswali. Au muda wako utaisha katika cafe?
Mie nildhani vingozi wote na raia wote wa jamaika wana rasta
ReplyDeleteyani nimechekaaa annon 12.27pm...
ReplyDeletedah
aya hii mpya kumbe waziri mku ndo kiongozi mkuu?na wana gavana anamwakilisha malkia?so wamependa kuwa km one state of UK???au