Home
Unlabelled
vekesheni buja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi Salama,Pole na Vekesheni
ReplyDeleteSwali la Kizushi. Hivi hunaga ka-Tshirt kengine? Au zinafanana. nakuona nako hako everitime.
Asante-Mdau
Ze fulanazi inatesa kila anga,hivi huwa haichakai!au ziko nyingi,mithupu?
ReplyDeletekudadadeki hiyo T-shirt inakoma sasa,khaaa mpaka ichanike Bro Michu,aaaaaaaaaaah noma sasa,kamepaukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteKamua kamua anko nanihii, hapo mwanangu kuna watoto wa kinyarwanda wako makini sana na ni wajuzi wa "unyago".
ReplyDeleteNaamini hutarudi na udhu wako. Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!
MBONA UNAIPENDA SANA HIYO T-SHIRT MPAKA IMEPAUKA!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHebu tueleze Mr Michu hako kauwanja ka ndege kanaonekana kazuri au ni nje tu? Ukilinganisha na wa kwetu wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere International Airport.
ReplyDeleteUKIONA HIVYO UJUE KUNA MTU ANATAKA TIA TIMU BUJA, SASA MZEE MZIMA 'ANAFAGILIA'...MAPEEMA KAMA KAWA.
ReplyDeleteNyie wadau mbona mwamsakama anko nanihi na T-shirt yake? Hamjui kwamba mganga wake kamshauri awe anapiga hicho kiwalo mara kwa mara. Akikiuka masharti blog ya jamii itakufa!!!!!!!!!!1 te te teteh
ReplyDeleteUliziz mtaa mmoja hapo unaitwa Kabuye. Una watoto wa kitusi wa kufa mtu. Chunga lakini. waangalie tuu shibisha macho halafu huyoo chomoka rudi hotelini.
ReplyDeletehiyo t-shirt imetoka kwa Kalumanzila nini?
ReplyDeleteha ha ha ha!ntu hunaweza kuwa na nguo nyingi lakini kamoja huka kapenda zaidi. labda my wife wake anaipenda hiyo!
ReplyDeleteT-shirt oyeeeeeeeeeeeeeeee mzee wa libeneke lazima warundi wakujue. Kwanza hiyo Tshirt tunataka tuiweke kwenye mnada kabla haijafuria zaidi
ReplyDeleteMdau Dodoma
Mzee wa wazee,New Albany OH Michuzi yupo Burundi sio Rwanda.Watakuwa ni watoto wa kirundi bana sio kinyarwanda.Lool
ReplyDeletehapa ujumbe ulikuwa ka-T-shirt ketu. mzee hako katisheti ikifika siku ukapige mnada ili tuchangie kituo kimoja cha watoto yatima hivi. it is a historic T-shirt you might not be aware of especially in this blog. au kama la ntupie mimi nikaweke kweye makumbusho. najua bado tumiaka tuwili hivi ndipo ukaache.
ReplyDeleteHivi Michuzi, unakuwa vakesheni au kazini? kwani nina mwanangu anapenda sana kuvinjari blog yako, sasa leo ananiambia mama nikiwa mkubwa nataka kufanya kazi ya Michuzi, nikamuuliza je unajua Michuzi anafanya kazi gani? ananiambia kwenda vakesheni kila kukicha!! kwa hiyo jamani usichanganye wanetu wewe ni role model wa jamii, sidhani kama unaenda vakesheni kihivyo bali kazi yako ina involve kusafiri, so sema nipo kikazi Bujumbura! so wenetu waelewe kuwa huwezi tu kusafiri bila kufanya kazi. Halafu hiyo tshirt ingekuwa inajua kuongea ingeomba msamaha kwani yapatishwa shida sana, hv unaifua kweli na saa ngapi? kwani kila kukicha ipo mwilini! hayo masharti ya mganga wako makali sana.
ReplyDeleteMheshimiwa Balozi na Mkuu wa Wilaya, umenikumbusha mbali, maana niliwahi kufundisha hapa Chuo Kikuu cha Bujumbura mwaka 1980, chini ya mpango wa ushirikiano baina ya Burundi na Tanzania. Nawakumbuka waRundi walivyokuwa wananiambia "Kiswahili yako iko nguvu sana!"
ReplyDeleteMitaa ya Bwiza, Kamenge, na Buyenzi naikumbuka vizuri. Ukipata muda, tembelea Buyenzi, ngome ya lugha na utamaduni wa kiSwahili. Hata kikundi cha taarab kilikuwapo, na huenda bado kipo.
Mkuu nakutakia vekesheni njema.
MITHUPU NATAKA KUSAFIRI LKN NIMEAMBIWA UKINIAZIMA HIYO ZE FULANAZZZZ YA JAMIIII SITAKOSA VISA NA HATA TABU YEYOTE ILE KWENYE SAFARI YANGU ... SASA NITAKUPATA WAPI ILI UNIPE NA MIMI HIYO ZE FULANAZZZZZ
ReplyDeletemzee mithupu kaambiwa na mganga wake awe anavaa hiyo fulanaz nyinyi mnafikiri anaivaa kwa kupenda kumbe ni masharti ya mganga wake
ReplyDeletesafari hii mpelekee jeans akaifanyie uganga maana hiyo fulanaz inatosha tena.
BREAKING NEWS
ReplyDeleteKAKA MICHUZI MIMI NIPO TAYARI KUKUPA DOLA 500, UNIUZIE HIYO TISHET YAKO.KAMA UPO TAYARI SEMA, ILI MIMI NIJITOKEZE NA KUKUPATIA HIYO PESA.NA MAKABIZIANO HIYO YA TISHET.
MATUMAINI YANGU HUTANIANGUSHA KAKA.
Vakesheni sawa na mkwanja inaonekana unao wa kutosha. Kama hujachelewa inabidi mwaka huu uende Hija maana uwezo inaonekana unao.
ReplyDeleteMichuzi huko kwenye kajivekesheni kako uliweza kuangalia mechi? Naona Bwana la Mapafu wameharibu kajivekesheni kako. Nasubiri mapicha kibao ya mechi ya leo.
ReplyDeleteJe, bado mna matumaini ya kusonga mbele? Pole sana, sasa naona kwenye makombe ya mbuzi mnafungwa, Premier nako hoi, kwenye CL ndo hivyo mnapumua kwa msaada wa mashine. Au mnasubiri kibonde Debrecen mmalizie hasira zenu na mmtumie kama ngazi ya kuwasogelea Fiorentina?
Mwaka huu makombe yote kuanzia cha ndimu, mchangazi, ya kuku na mbuzi, yote mtakosa! Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Mr Michu, Nakuja Dsm hii Dec, niambie size yako ya T.shirt kweli sio utani na wala sio kwa sababu unapenda hiyo the fulana yako kwa sanaa, mie nimeona wewe ni mpenzi wa the fulanas nakuletea zawadi.
ReplyDeleteDu nimependa hiyo eapoti, Hakuna matangazo kama yalivyojaa pale JKnyerere eapoti utafikiri uko sokoni, yaani kama sio mzoefu wa JKN eapoti unaweza ukajikuta ndege inakuacha kwa kusoma matangazo.
ReplyDeleteNimesafiri sana duniani na kwa kweli sijaona eapoti inamatangazo mpaka kwenye runway kama ilivyo JKnyerere
i missed ze fulanazz
ReplyDeleteooh how lovely michu,pokea zawadi ya uyu annon wa t-shirt mpya
braza M hilo swali la T-shirt hata mie limenichanganya sana
ReplyDeleteKuna boss wangu kila nilpokuwa nikimuona ana t_shirt moja ya bluu more than 2 years
one day yes nikaenda kwake kukuta T-shirt za aina hiyo mora than twenty na vi kaptura vimeanikwa nikajua eeeh kumbe ndo hivo
na ww je?
Mdau Jey Mwanza
Michu
ReplyDeleteTulikuwa kwenye pipa wote.. yaani siamini umeanza mbele na yule mdada ambaye amekupiga hii picha.. Yuko makini. Nakuonea gere but naingia mtaani kusakanya wangu.. hahaaaa Siamini hata huku pia wanaijua fulana manake demu alipagawa alipokuona!