


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bujumbura kila siku mzee nina wasiwasi!!!!!
ReplyDeleteafu michu hizo nguo zako jamani mmmh kwakweli umetoka mno yani wifi haogopi utaishia warundi manake moto ile mbaya. ila tu hapo burundi kuko kama ilivyokuwa bongo zamani siku hizi tumeendelea zaidi.
ReplyDeleteMkuu...hiyo salad mbona kama mkuu wa meza...Panavutia
ReplyDeleteKitendawili: Ukipatia n'takupa mji.
ReplyDelete"Ustaadhi, hiyo minofu ya pinki kwenye hiyo salad uliijua ni minofu ya mnyama gani?"
ANKAL MICHUZI NINA WASI WASI NA HUKO BUJA DAILY UNATIA KWATO AU UMEISHAPATA MRUNDI KAZI?
ReplyDeleteKwa kweli kumbe bujumbura siku hizi pako swafii!! enzi za 1988 ndo ilikua sehemu ya mizunguko yangu ya kupumzikia na kuvuta hewa nzuli.Duh, ila michuzi uwe macho siku hizi mbona kila wiki uko bujumbula?auangalie usiolewe na warundi bwana!au upo kikazii?
ReplyDeleteSina njaa lakini hiyo salad imenivutia sana.
ReplyDeleteHayo mazingira ya nje ya Palacio namna gani tena. Hilo ndio lango kuingilia nini?
...dah, ustaadhi vipi tena na huyo 'kiti moto' ndani ya Salad, sio Ham hiyo?
ReplyDeletekwa salad hiyo kaka ushuzi wake simchezo...maana mpaka mayai ya kuchemsha ndani,kitimoto ukiuwachia wa yusufffffffffffffff hakai mtu,mdau greece
ReplyDeleteDuh! sijawahi kula salad yenye mchanganyiko na mayai ya kuchemsha! Itabidi nijaribu siku moja... Naona picha ya tatu hapo Ankal unapata Dodoma WINE...sawa bwana.
ReplyDeleteMdau NL.
ankal hiyo sahani ya saladi kwa uhakika kabisa ni nguruwe huyo watu wa ukerewe wanamuelewa sana huyo mdudu.
ReplyDeletestakhfirula!!!nyama ya nguruwe...mbona najisi
ReplyDeleteBro, nilpokuwa hapo Bujumbura nilikwenda eneo linaitwa Buyenzi. Huko Buyenzi lugha inayotumika ni Kiswahili, vyakula vyao ni ugali, pilau, chapati, muhogo wa nazi, n.k. (si matoke).Muziki wanaosikiliza ni wa TZ. Kilichonifurahisha zaidi ni, wakati wa vita, hakukuwa na ukabila wala uhasama kati ya Wahutu na Watusi.
ReplyDeleteAnkal! umetoka mchicha!umependeza kweli,sijui kama ulipitia mitaa ya Buyenzi?
ReplyDeleteSio vibaya nikikufikishia news huko uliko Liverpool 0-Portsmouth 2.
ReplyDeleteHiyo kama si panchetta basi ni proschutto au ni bacon ya kiitaliano jamani sasa wewe muislamu gani unaekula hata vilivyoharamishwa!
ReplyDeleteHiyo samaki inaitwa MIGEBUKA ila nina wasi na hiyo nyama ya weupe fulani angalia Michu sio KIMOTOZZZ!!!
ReplyDeleteKumbe Bujumbura kunatizamika jamani. Mi nilikua nadhani shimoni ile kinoma. Maana nikiwaangalia warundi ninaowajua..duuh. Walugaluga kionoma. Kumbe kwao kunatazamika jamani. Basi labda hawa warundi ninawajua hawatoki Bujumbura.Labda wametoka milimani manake duuh noma tupu...
ReplyDeleteHalafu we michuzi..kumbe nguo nzuri nzuri unazo. Hebu achana na lile li fulana lako la mistari. Silipendiii.lol
ReplyDeleteWaoo! nyama za bluu kwenye saladi, usifanye mzaha na mbuzi huyo ka....ki.
ReplyDeleteMINOFU MYEKUNDU SI LAZIMA NGURUWE ANAWEZA KUWA NGOMBE AU NYAMA INGINE YA PORINI AU KONDOO, MINOFU KAMA HIYO HUKU NI YA HAM INAYOTOKANA NA NGURUWE, SI DHANI KUNA UJUZI HUO WA KUTENGENEZA HAM HUKO BUJUMBURA!!!!
ReplyDeletesasa michuzi inakuaje unaenda vekesheni mwenyewe humchukui hata mkeo au kama unaona mkeo ni mzigo ungeibua hata jimama la kirundi
ReplyDeletejamani jamani kaka michu!!!!!! Ebu muachieni huyo maximo jamani wenzenu twapenda kuona kabumbu ya strs ile ya kisasa sio ile ya anakwenda anakwenda laaaa gooooooaaaaaa!? ile baaby imepitwa na wakati!! jamani maximo nomeli uno!! mens maximo number one!!!
ReplyDeleteAnonymous wa Sat Dec 19, 05:22:00 PM, nakumbuka wakati wa mapigano miaka ile ya 90 mwishoni, rebels wa burundi walikuwa wanahojiwa ITV wakiongea kiswahili, mzee wangu alikuwa anasema "hawa watu wanaongea kiswahili safi kuzidi sisi", nakumbuka sana ile kauli mpaka leo. Comment yako imenikumbusha.
ReplyDeletemmmmh anko nanihiii kuna buju kunani? halafu umetoka ile mbaya kama JK? umbebe basi na anti siku mojamoja unafaidi peke yako tu. samaki huyo na salad mie hoi.
ReplyDeleteKweli ankal vakesheni nyingine nenda na anti,kila siku peke yako,vipi ankal au una anti,kama huna tafuta mbona wapo wengi haswa huku buju na hapa dar tambarare
ReplyDeleteSaaaafi sana Ankal, naona mbali ya kutuonesha mandhali ya Bujumbura lakini vilevile umeamua kutuonesha pamba zako, kumbe unazo nzuri na nyingi tu!!! Ulikuwa ukibadilisha kila baada ya muda gani?
ReplyDeleteMichuzi una 'biashara' gani huko Bujumbura?
ReplyDeleteIna maana shemeji kweli anakupa ruksa kula vekesheni zote hizi peke yako?
(US Blogger)
kitomoto ni chakula nyie wapuuzi..michu kula kwa raha zako
ReplyDeletebuju balaa michu kila mara?khaaa
SASA KAKA UNAZANI PAMEKUWA KAMA ULAYA?????
ReplyDelete