ankal nanihii akitanua na ze fulanazzz bujumbura
ankal akiwa alikofikia bujumbura
ankal akijichana na mwenyeji wake sam
nje ya ofisi za maziwa makuu
ankal akiwa club palacio usiku huu ambapo ukitembelea bujumbura, burundi, utakuwa hujajitendea haki
bujumbura siku hizi ni tambarare kuliko unavyofikiria

ubwabwa kwa samaki ni mojawapo ya dayati kuu burundi

mambo ya masaladi bujumbura. watu wengi hupenda saladi na maziwa na ankal amekuwa mpenzi mkubwa wa dayati hii ambayo ni adimu bongo









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Bujumbura kila siku mzee nina wasiwasi!!!!!

    ReplyDelete
  2. afu michu hizo nguo zako jamani mmmh kwakweli umetoka mno yani wifi haogopi utaishia warundi manake moto ile mbaya. ila tu hapo burundi kuko kama ilivyokuwa bongo zamani siku hizi tumeendelea zaidi.

    ReplyDelete
  3. Mkuu...hiyo salad mbona kama mkuu wa meza...Panavutia

    ReplyDelete
  4. Kitendawili: Ukipatia n'takupa mji.

    "Ustaadhi, hiyo minofu ya pinki kwenye hiyo salad uliijua ni minofu ya mnyama gani?"

    ReplyDelete
  5. ANKAL MICHUZI NINA WASI WASI NA HUKO BUJA DAILY UNATIA KWATO AU UMEISHAPATA MRUNDI KAZI?

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli kumbe bujumbura siku hizi pako swafii!! enzi za 1988 ndo ilikua sehemu ya mizunguko yangu ya kupumzikia na kuvuta hewa nzuli.Duh, ila michuzi uwe macho siku hizi mbona kila wiki uko bujumbula?auangalie usiolewe na warundi bwana!au upo kikazii?

    ReplyDelete
  7. Sina njaa lakini hiyo salad imenivutia sana.

    Hayo mazingira ya nje ya Palacio namna gani tena. Hilo ndio lango kuingilia nini?

    ReplyDelete
  8. ...dah, ustaadhi vipi tena na huyo 'kiti moto' ndani ya Salad, sio Ham hiyo?

    ReplyDelete
  9. kwa salad hiyo kaka ushuzi wake simchezo...maana mpaka mayai ya kuchemsha ndani,kitimoto ukiuwachia wa yusufffffffffffffff hakai mtu,mdau greece

    ReplyDelete
  10. Duh! sijawahi kula salad yenye mchanganyiko na mayai ya kuchemsha! Itabidi nijaribu siku moja... Naona picha ya tatu hapo Ankal unapata Dodoma WINE...sawa bwana.
    Mdau NL.

    ReplyDelete
  11. ankal hiyo sahani ya saladi kwa uhakika kabisa ni nguruwe huyo watu wa ukerewe wanamuelewa sana huyo mdudu.

    ReplyDelete
  12. stakhfirula!!!nyama ya nguruwe...mbona najisi

    ReplyDelete
  13. Bro, nilpokuwa hapo Bujumbura nilikwenda eneo linaitwa Buyenzi. Huko Buyenzi lugha inayotumika ni Kiswahili, vyakula vyao ni ugali, pilau, chapati, muhogo wa nazi, n.k. (si matoke).Muziki wanaosikiliza ni wa TZ. Kilichonifurahisha zaidi ni, wakati wa vita, hakukuwa na ukabila wala uhasama kati ya Wahutu na Watusi.

    ReplyDelete
  14. Ankal! umetoka mchicha!umependeza kweli,sijui kama ulipitia mitaa ya Buyenzi?

    ReplyDelete
  15. Sio vibaya nikikufikishia news huko uliko Liverpool 0-Portsmouth 2.

    ReplyDelete
  16. Hiyo kama si panchetta basi ni proschutto au ni bacon ya kiitaliano jamani sasa wewe muislamu gani unaekula hata vilivyoharamishwa!

    ReplyDelete
  17. Hiyo samaki inaitwa MIGEBUKA ila nina wasi na hiyo nyama ya weupe fulani angalia Michu sio KIMOTOZZZ!!!

    ReplyDelete
  18. Kumbe Bujumbura kunatizamika jamani. Mi nilikua nadhani shimoni ile kinoma. Maana nikiwaangalia warundi ninaowajua..duuh. Walugaluga kionoma. Kumbe kwao kunatazamika jamani. Basi labda hawa warundi ninawajua hawatoki Bujumbura.Labda wametoka milimani manake duuh noma tupu...

    ReplyDelete
  19. Halafu we michuzi..kumbe nguo nzuri nzuri unazo. Hebu achana na lile li fulana lako la mistari. Silipendiii.lol

    ReplyDelete
  20. Waoo! nyama za bluu kwenye saladi, usifanye mzaha na mbuzi huyo ka....ki.

    ReplyDelete
  21. MINOFU MYEKUNDU SI LAZIMA NGURUWE ANAWEZA KUWA NGOMBE AU NYAMA INGINE YA PORINI AU KONDOO, MINOFU KAMA HIYO HUKU NI YA HAM INAYOTOKANA NA NGURUWE, SI DHANI KUNA UJUZI HUO WA KUTENGENEZA HAM HUKO BUJUMBURA!!!!

    ReplyDelete
  22. sasa michuzi inakuaje unaenda vekesheni mwenyewe humchukui hata mkeo au kama unaona mkeo ni mzigo ungeibua hata jimama la kirundi

    ReplyDelete
  23. jamani jamani kaka michu!!!!!! Ebu muachieni huyo maximo jamani wenzenu twapenda kuona kabumbu ya strs ile ya kisasa sio ile ya anakwenda anakwenda laaaa gooooooaaaaaa!? ile baaby imepitwa na wakati!! jamani maximo nomeli uno!! mens maximo number one!!!

    ReplyDelete
  24. Anonymous wa Sat Dec 19, 05:22:00 PM, nakumbuka wakati wa mapigano miaka ile ya 90 mwishoni, rebels wa burundi walikuwa wanahojiwa ITV wakiongea kiswahili, mzee wangu alikuwa anasema "hawa watu wanaongea kiswahili safi kuzidi sisi", nakumbuka sana ile kauli mpaka leo. Comment yako imenikumbusha.

    ReplyDelete
  25. mmmmh anko nanihiii kuna buju kunani? halafu umetoka ile mbaya kama JK? umbebe basi na anti siku mojamoja unafaidi peke yako tu. samaki huyo na salad mie hoi.

    ReplyDelete
  26. Kweli ankal vakesheni nyingine nenda na anti,kila siku peke yako,vipi ankal au una anti,kama huna tafuta mbona wapo wengi haswa huku buju na hapa dar tambarare

    ReplyDelete
  27. Saaaafi sana Ankal, naona mbali ya kutuonesha mandhali ya Bujumbura lakini vilevile umeamua kutuonesha pamba zako, kumbe unazo nzuri na nyingi tu!!! Ulikuwa ukibadilisha kila baada ya muda gani?

    ReplyDelete
  28. Michuzi una 'biashara' gani huko Bujumbura?

    Ina maana shemeji kweli anakupa ruksa kula vekesheni zote hizi peke yako?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  29. kitomoto ni chakula nyie wapuuzi..michu kula kwa raha zako

    buju balaa michu kila mara?khaaa

    ReplyDelete
  30. SASA KAKA UNAZANI PAMEKUWA KAMA ULAYA?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...