kikosi cha yanga kids leo kabla ya mechi yao dhidi ya azam kids. hii ni ligi maaliumu kwa timu za vijana ambapo kila timu iliyo katika ligi kuu ya vodacom inalazimika kuwa na timu ya vijana. leo azam wameipiga yanga 3-0 katika uwanja wa karume inakofanyika michuano hiyo
azam kids leo
yanga na azam kids wakisalimiana kabla ya mechi yao lep
hekaheka uwanjani kati ya azma na yanga kids
mchezaji wa yanga kids akijitahidi uwanjani





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kiasi mfungwe sasa Yanga Kids ndio mikao gani hiyo yakupiga picha? Pazi.

    ReplyDelete
  2. Mniwie radhi kwa swali/hoja ifuatayo: Hivi nani kwenye mchezo wetu huu hana uhakika tofauti ya Timu "B" na Timu "kids"? Au kwenye kamusi ya TFF "kids" inamaana nyingine?.....tulishawahi kuondolewa mashindanoni sababu ya kujaribu kuhadaa umri halisi wa wachezaji (Serengeti "Boys")...of course vijana wanaganga njaa so wakiona upenyo wanaokota, at thend lengo halisi la kupata timu za kesho linakuwa limeharibiwa. We need to WAKE UP!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...