A woman suffering from skin disorder due to sking lightening creams

THE zeal to look beautiful and a colonial mentality that white skin is superior is fast driving Tanzanian women into their graves as they risk their lives by using skin lightening creams that in the end turn lethal.

The problem is not only confined to Tanzania as selling of whitening creams is a lucrative business in Africa worth millions of US dollars a year. In some countries that allow the use of these lethal substances, shelves in pharmacies are stacked high with lotions, creams and soaps all promising to make women whiter and supposedly more beautiful.

But, in countries like Tanzania, where the use and importation of skin lightening creams is banned, the business is thriving as these dangerous creams are smuggled into the country while dealers on the other hand are discrete.

Read the rest of this mkorogo story:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mmh nimesikia umbeya wa simu za mikononi eti mzee kawawa katutoka ni kweli?

    ReplyDelete
  2. Hii haitawafanya mapumbavu waache kuzitumia hizo cream. Waacheni waendelee kutumia tuu, ukizingatia tupo wengi sana. Stupid lazima wafe.

    ReplyDelete
  3. Miaka ya 87-94 wakiitwa fanta-coca. Wanameza hizo dawa halafu ngozi inakuwa na rangi ya fanta. Mirija ya damu inaoneka ikiwa na rangi ya coca. Hongera mdau kwa mada elimishi! Ifanyike juhudi pia khabari hizi ziwafikie dada zetu kule mbagala, mtogole, mfuga mbwa na chanika!

    ReplyDelete
  4. wapi count down this year?

    ReplyDelete
  5. IT'S REALLY SAD...!YAANI HII KASUMBA YA WEUPE ND'O UZURI SIJUI WATANZANIA TUMEITOA WAPI!!!LAKINI KAMA MTU KAAMUA HUWEZI MSAIDIA KWA JINSI YOYOTE...MWACHE ATANGULIE AFIKE...SI TUNAKUJA POLE POLE NA WEUSI MANGARA WETU!HAAA HAAA

    ReplyDelete
  6. Sad in deed. But these skin lightening creams are used world wide however in poor contries like ours, women slather these creams and then spend hours on the sun without proper sunsceens.In other words we are misusing the products . Most of them are intended for post acne marks and skin disorders but women use them continuously and end up with skin cancers.
    sad
    God bless Tz and it's people

    ReplyDelete
  7. mngeandika kwa kiswahili ili wanaotumia waelewe!

    ReplyDelete
  8. mdau hapo juu, wee unadhani watumiaji wote hawajui ung'eng'ge? Wengine hata Nondoz wanazo na bado wanatumia hii mikorogo - sijui bwana, elimu si darasani tu! Kama mchangiaji mwengine alivosema, wacha wajiharibu na wafe; wadhania Mungu ni mjinga kuumba weupe na weusi???

    ReplyDelete
  9. ukitaka uzuri lazima uzurike....pole sana bt tunatakiwa tukubali hali zetu mola alotujaalia.kubali hali yako dada

    ReplyDelete
  10. Anon 11.21 Kwani wanaotumia lugha kiingereza hawatumii hizo dawa? Labda ungeshauri habari ingetafsiriwa kusaidia tu.
    Pia si kwamba watu hawajui hata kusoma kiingereza kiasi hicho hapa TZ wengi tumefundishwa kiasi shule tukisoma tunaelewa kuongea ndio tatizo zaidi maana hatukitumii katika maongezi yetu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...