Home
Unlabelled
BOXING DAY SPESHO...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HE WAS GREAT ACTER OF ALL TIME, FOR THOSE WHO GREW IN 1960s TO LATE 1970s I THINK THEY VIVIDLY STILL REMEMBER THIS LAD.
ReplyDeletegreat "actor" na sio "acter" ni kama watu wengi wanasema "Christmass/Xmass" badala ya "Christmas/Xmas"!
ReplyDeleteBoxing day ni siku ya kufungua zawadi kwenye mabox sio NGUMI.
ReplyDeleteLakini Charlie ni chalii... imenikumbusha mbaliii..
haahaha safi sana
ReplyDeleteAt least he seemed to have a game plan at the begining and the game plan evaporated at later stages of the fight.
ReplyDeleteNa wewe mdau wa siku ya kufungua zawadi kwenye maboxi, kamwambie mwalimu wako mwalimu mushi kwamba upuuzi mtupu huo aliokufundisha. Jana nimekula x-mass na wazungu 9, Milgavie, Scotland. Mmatumbi nilikuwa peke yangu nyumbani kwao, na kila mmoja wao alifungua fuko lake la zawadi pale pale, wala hakuna aliyesubiri boxing day.
Msijifanye mmeyazoea sana mambo yasiyokuwa yenu.
imenikumbusha mission. Kila jumapili jioni padri alikuwa akituonyesha hizo 'moving picture'. Kabla ya kuonyesha alikuwa akilazimisha watu kuingia kwenye misa ya jioni. Tulikuwa tunafichama nje, wakitoka tu kanisani tunajichanganya na kuingia kwenye hall la sinema! Ilikuwa Burudani kwelikweli!!
ReplyDeleteJe CCM mupo?
ReplyDelete