MBIU YA MGAMBO IKILIA UJUE KUNA JAMBO. DJ LUKE KUTOKA DC TAYARI AMEISHA TUA HOUSTON LEO JUMAMOSI DEC 26, TAYARI TAYARI KUFUNGA MWAKA KWA BURUDANI SAFI YA OLDSKUL ZA KUKATA NA SHOKA.

FIKA UKUMBUKE ENZI ZAKO ZA MBOWE,RSVP,VISION,MOTEL AGIP, TWIGA,VALENTINO,RUNGWE OCEANIC,STUDIO 35,JET SET,
TOTO DISCO YMCA,CLOUDS POOL SIDE,TAZARA,PINK COCONUT,SPACE 1900,KWETU BAR,MOON DUST,GOGO DISCO AFRICANA NA MAKABALEE YALIOTAMBA MIKOANI KAMA NK DODOMA,CAVE DISCO ARUSHA,MAGNUM MWANZA,RUAHA INTERNATIONAL NA RAILWAY CLUB IRINGA, NA MOROGORO HOTEL SHIMONI,BS NKOOGWE,MKONGE TANGA,YOTE NDANI YA D
CLUB SAFARI,
7601 DEMOSS DR,
HOUSTON,TX,77063

KUANZIA 5 USIK(11:00PM) MPAKA 12 ASUBUHI(6:00AM)

KARIBU UPATE ILE KITU ROHO INAPENDA KAMA HII NGOMA...


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mzee niweke kapuni.
    Dj LUKE alishawahi kupiga MAMBO CLUB?

    ReplyDelete
  2. wahouston kwa sherehe hamjambo duuu.

    ReplyDelete
  3. muuliza swali kama Dj Luke alisha wahi kupiga Mambo Club jibu ni ndio ndio huyo ulie muona mambo club ambayo kwa sasa inaitwa Maisha Club

    ReplyDelete
  4. umesahau Barbara Roy-got see you tonight,sneaky preview-Elianor Goodman

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...