Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. NILIWAAMBIA, DJ LU KIWANGO.

    ReplyDelete
  2. only in htown!!!

    ReplyDelete
  3. Kuna mtu anaweza akaniambia jina la nyimbo inayoanza kwenye dk 01,07 au link yake kwenye youtube?

    ReplyDelete
  4. wimbo unaitwa MBONGWE UMEPIGWA NA MAYAULA MO

    ReplyDelete
  5. he he heee wanaume houston mmevaa kama wapiga debe ebo!

    ReplyDelete
  6. Nyimbo inayoanza na 01.07 ni Famille Kikuta unaufefu wa dakika6:06 na umeimbwa na Defao na upo kwenye albamu inayoitwa Anthologie

    ReplyDelete
  7. Dj luke mixing ya rumba safi sana yaani uliporomsha vitu yaani hapo mtu hakai chini kila mtu ulimgusa hisia maana nyiimbo hizo zilitisha na bado ladha yake mpaka leo ni hatari big up mnyamwezi wangu uko juu inapendeza sana tena hapo unawakamata wafrica woooooooooooote duh smart kichizi i wish ningekuwepo Mdau Sweden

    ReplyDelete
  8. Wabeba Maboksi mbona style zenu za kucheza za kichovu.. naona wanarudia alafu bado hawazipatii kivyake. Bidani, Deo, Paul mko wapi jamani viwanja muwape starehe wenzenu. Nawakumbuka enzi zenu pale bilicanas, mnasimama kwenye ngazi alafu mnawapa watu raha jinsi mlivyokuwa mnaondoka kinywamwezi.. long live!
    Kaka Luka, uko imara kwa oldies!

    ReplyDelete
  9. Hivi mbona wanaume tuu. Hii ni Gay club? Mabox Bebaers wanaruka ngoma wenyewe wenyewe... Waambieni , hii style imekwisha muda!

    ReplyDelete
  10. Tue Dec 29, 03:38:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Jina wa wimbo? Kwa ujui kusikiliza? replay mpaka kieleweke

    ReplyDelete
  11. Safi sana! Kama kuna mtu anajua wapi naweza kuona video za wana zipompapompa pls naomba msaada, pia ni bendi gani iliimba? thx

    ReplyDelete
  12. watu mnaosema wachagga tunapenda reggae shikeni adabu zenu hao wanaocheza reggae hapo wote wachagga?
    dj luke tuwekee bob mallya plz

    ReplyDelete
  13. VITU SAFI SANA, WAPE VITU MWANANGU
    hahaaa michuzi bonge la mjanja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...