Home
Unlabelled
DJ LUKE akifanya mambo Htown Boxing day
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NILIWAAMBIA, DJ LU KIWANGO.
ReplyDeleteonly in htown!!!
ReplyDeleteKuna mtu anaweza akaniambia jina la nyimbo inayoanza kwenye dk 01,07 au link yake kwenye youtube?
ReplyDeletewimbo unaitwa MBONGWE UMEPIGWA NA MAYAULA MO
ReplyDeletehe he heee wanaume houston mmevaa kama wapiga debe ebo!
ReplyDeleteNyimbo inayoanza na 01.07 ni Famille Kikuta unaufefu wa dakika6:06 na umeimbwa na Defao na upo kwenye albamu inayoitwa Anthologie
ReplyDeleteDj luke mixing ya rumba safi sana yaani uliporomsha vitu yaani hapo mtu hakai chini kila mtu ulimgusa hisia maana nyiimbo hizo zilitisha na bado ladha yake mpaka leo ni hatari big up mnyamwezi wangu uko juu inapendeza sana tena hapo unawakamata wafrica woooooooooooote duh smart kichizi i wish ningekuwepo Mdau Sweden
ReplyDeleteWabeba Maboksi mbona style zenu za kucheza za kichovu.. naona wanarudia alafu bado hawazipatii kivyake. Bidani, Deo, Paul mko wapi jamani viwanja muwape starehe wenzenu. Nawakumbuka enzi zenu pale bilicanas, mnasimama kwenye ngazi alafu mnawapa watu raha jinsi mlivyokuwa mnaondoka kinywamwezi.. long live!
ReplyDeleteKaka Luka, uko imara kwa oldies!
Hivi mbona wanaume tuu. Hii ni Gay club? Mabox Bebaers wanaruka ngoma wenyewe wenyewe... Waambieni , hii style imekwisha muda!
ReplyDeleteTue Dec 29, 03:38:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteJina wa wimbo? Kwa ujui kusikiliza? replay mpaka kieleweke
Safi sana! Kama kuna mtu anajua wapi naweza kuona video za wana zipompapompa pls naomba msaada, pia ni bendi gani iliimba? thx
ReplyDeletewatu mnaosema wachagga tunapenda reggae shikeni adabu zenu hao wanaocheza reggae hapo wote wachagga?
ReplyDeletedj luke tuwekee bob mallya plz
VITU SAFI SANA, WAPE VITU MWANANGU
ReplyDeletehahaaa michuzi bonge la mjanja.