MAKAMU WA RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN AKIHUTUBIA VIONGOZI WA NCHI MBALIMBALI ZA DUNIA KATIKA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI YANAYOENDELEA NCHINI DENMARK-COPENHAGEN LEO
MAKAMU WA RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN( KULIA ) AKITOKA NJE YA UKUMBI WA BELLA CENTRE BAADA YA KUHUTUBIA VIONGOZI WA NCHI MBALIMBALI ZA DUNIA KATIKA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA (KUSHOTO ) NI WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) DR. BATILDA BURUAN, NA KATIKATI NI BALOZI IDDI, NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WAKIMPONGEZA NA KUMSINDIKIZA NCHINI DENMARK -COPENHAGEN LEO.

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) DK. BATILDA BURIAN KATIKA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI YANAYOENDELEA NCHINI DENMARK COPENHAGEN LEO. PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...