Home
Unlabelled
adina ala nondozzz chuo kikuuu cha mzumbe university
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAWA NDIO WATU MAKINI KUTOKA CHUO CHANGU CHA MUZUMBE UNIVESITY YA CHUO KIKUU CHA KULE MOLOGOLO. KIDUMU MUZUMBE, MUZUMBE OYEEEEE. HASHEEM THABEET KASOMA MUZUMBE, NABII YOHANNA MASHAKA KASOMA MUZUMBE NA HATA RAIS WETU MAKINI JK KASOMA MUZUMBE DIGIRII YAKE YA UCHUMI
ReplyDeletehongera saaaana bidada kwa kula nondo si mchezo hongraaaaa
ReplyDeletecongratulations, it is just one step ahead, the world is full of challenges so be strong and use your knowledge effectively and efficiently.
ReplyDeleteChuo Kikuu cha Mzumbe au Mzumbe University.
ReplyDeleteNawakilisha
ha ha haa mdau wa tatu hapo juu humjui peter nalitolela eeh huyo ndo zake na ndio misemo yake hiyo ameshindikana ukitaka kujichekea fatiliaga comment zake nachekaga hadi basi
ReplyDeleteKwa hiyo hivi sasa anatafuta kazi au anarudi kazini?. Maana sioni mantiki, hebu tuwaweke wahitimu wote kwenye blogu hii na course zao kutoka vyuo mbalimbali tuone itakuwa nini?.
ReplyDeletenampongeza mwanadada kwa kuweza kufikia stage hio. Pia tujitahidi sana kutumia elimu zetu vizuri na tutumikie taifa na siyo kujinufaisha na kujigamba. POPOTE UTAKAPOCHUKUA KAMA DEGREE AU MASTER au Phd kama chini ya mti au darasani basi ina thamani.
ReplyDeletemtoto wa kike akimaliza shule kama mzazi wa kiume(baba)uwa na furaha tele moyoni na kujigamba kuwa binti yangu huyu bwana,unaweza kujua hicho kitu muangalie huyo mzee sura ilivyokuwa ya furaha.lkn sasa ingekuwa kinyume mtoto angekuwa wa mama na mitusi tele.HONGERA DADA
ReplyDelete