Bendi maarufu ya mziki InAfrika kutoka jijini Dar aka mzizima ya kuzizima imeshatua barani ulaya kwa maoynesho ya msimu
wa baridi wakiwa na kundi la maonesho la Mama Afrika.
Kwa mujibu wa msemaji wa Ngoma Afrika band ambao ndio wanyeji wao, bendi hiyo inatarajiwa kushiriki katika maonyesho ya Mama Afrika yanayozungka ulaya kote na onyesho la kwanza litaanza Ijumaa hii ya tarehe 4/11/2009
mjini Amsterdam,Uholanzi.
bendi hiyo ilitua nchini ujerumani kwa kambi ya mda na sasa wapo mzigoni kuwapa burudani wakazi wa ulaya.
wasikilize Inafrica hapa:
www.myspace.com/inafrikaband
Pompi Du nakuona mwanangu.
ReplyDeleteZa masiku?
(US Blogger)