mwanamuziki wa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo JB Mpiana akipungia mashabiki wakati alipotua Dar usiku huu tayari kwa shoo yake na Tshala Muana Ijumaa hii jijini Dar katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
JB Mpiana na kundi lake zima wakiwasili Dar usiku huu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba kufahamu. Tiketi zapatikana wapi na kiingilio ni shilingi ngapi na unaanza saa ngapi hadi??

    ReplyDelete
  2. papaa mukulu,i wish i was at my beloved home country bongoland..dah yaani ni kweli ukiondoa ufisadi bongo ni tambarale

    ReplyDelete
  3. le poisson a combien des parties?les siter les,mbumbu noyo na lopere.pere pere na yo lopere
    si mchezo nakuzimia JBmpiana
    kipe nayo......

    ReplyDelete
  4. USHAURI WA BURE KWA WAANDAJI WA SHOW HIYO,SIKU YA SHOW WAHAKIKISHE WAMEMPA ULINZI MKALI KUHUSU KINYWAJI HUYU JAMAA,TULIISHI NAE KWA MIEZI SITA 07 HUKU MAJUU,AKISHA PIGA MAWISKY ANAKUWA SIO YULE MMNAEMFAHAMU,MITUNGI IKIMTOKA ANAKUWA MTU POA SANA TENA NI RAFIKI MZURI NA HANA MAJIVUNO ILA MITUNGI AIWEZI KAMPA NGUMI BUKINAFASO MBELE YA WATU NA NDIO KISA CHA MKALI HUYO WA MPINI KUBAKI HAPA LONDONI NA KUPIGA MIZIKI NA WABONGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...